Michelle.........

Ulipotelea wapi weye mpaka SL akaniomba nimwombee radhi kama kakukosea?
Una namba ya simu ya Hashycool?

Mkuu nilienda kuvuna senene network ikazingua ikabidi nilime kidogo kashamba kangu. Harshycool namba yake sina huyu ndio nani tena halafu nae kapotea kweli
 
Mkuu nilienda kuvuna senene network ikazingua ikabidi nilime kidogo kashamba kangu. Harshycool namba yake sina huyu ndio nani tena halafu nae kapotea kweli

Kamanda humjui hashycool? mPM Afrodance akupe full data za huyu mshefa.
 
Nani kakuudhi jamani? Mbona umesusa jamvi? Kunani? Kama kuna aliyekukera nambie nimpige ban fasta.pliiiiz jongea chit chat angalau tukutie machoni kidogo..................
Bishanga ndo unatafuta replacement ya Eliza au
 
Teh kwani bado unampango wa kurudi kwa E wa T?
Kama huna kuwa wazi tukusaidie kumtafuta Michelle faster.....
Usivunge
Nia ninayo,tatizo hashycool ni graduate shingshonghung school of karate,nitasalimika kweli nikiingia anga zake?
As of Eliza wa Tegeta well niseme nini ? Sana sana Mwanakijiji kasababisha nirudi CCM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom