Michelle.....

Michelle,ashakum si matusi,Hashy kama ni 'mtaalaam' basi nenda kusini rudi kaskazini utamkumbuka tu,huo ndo ukweli.Kibaya zaidi that could happen to you may be only once in your lifetime,yaani unapata mwanaume akikugusa tu.................... Could be huyo mwanaume ni Hashy,nambie sasa unamwachaje? Utafurukuta weeeeeee maneno kibao lakini at the end of the day wala Lizzy hutamtaarifu kuwa kesho mnaspend night na Hashy Zamani Kempinski Zanzibar,huo ndo ukweli wa mapenzi.
well said mkuu ,utu uzima dawa ati kipele siku zote kinahitaji mkunaji.......mkuu heri ya mwaka mpya.
 
well said mkuu ,utu uzima dawa ati kipele siku zote kinahitaji mkunaji.......mkuu heri ya mwaka mpya.
Ahsante nami nakutakia heri ya mwaka mpya.
Mi namshangaa Hashy pamoja na jitihada za wadau kumsaidia kumrudisha mama kwenye mstari baada ya kufanikiwa wala haji kutupatia mrejeo wa nyuma (feedback),kha!
 
Asante sana Lizzy, sitaki hata kufikiria tena, manake nimeshabembelezwa vya kutosha,RM tumetoka nae mbali, tumefanya course za Leadership pamoja,makongamano,na harakati za kuhamasisha vijana wajiunge na chama...tumesaidiana kimawazo na kupeana moyo, na kweli tulikuwa tunapanga mengi, mara ya mwisho tumekubaliana tuonane twende kutembea Kilombero...leo hayupo...kinaniuma sana,nina picha za Dodoma hapa naangalia sitaki kuamini....maisha yetu ni mafupi sana dearest...tuyatumie vizuri...hatuna muda mrefu sana, tutende mema na tutumie vyote Mungu alivyotupa kwa ajili ya wahitaji,RIP RM
Pole sana Michelle...
 
Ahsante nami nakutakia heri ya mwaka mpya.
Mi namshangaa Hashy pamoja na jitihada za wadau kumsaidia kumrudisha mama kwenye mstari baada ya kufanikiwa wala haji kutupatia mrejeo wa nyuma (feedback),kha!

Hana shukrani, kwa niaba yake, nashukuru sana kwa kumsaidia,sina hakika amefanikiwa.
 
Nilitaka kukuuliza kwa nini umebadili avatar, but now I know... and if you need a shoulder, please feel comfortable on mine.
It's okay to cry (source: Hashycool)

Thank you dearest,kwasasa Michelle ndo ana uso wenye mwonekano huo,ule wa utundu utundu mpaka majonzi yaishe...

I have cried enough, now am planning my next move, i want my friend to be proud...when i meet her someday, i wish to tell her that the good work that she had started moved on well....
 
Good, that is good. whatever feeling you have right now, use its intensity to move forward, to build, and to make people around you proud!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom