MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,783
Huyu mwanamama bwana safi sana.
Fanya yote mazuri, enjoy life so long as huvunji sheria na maadili.
Fanya yote mazuri, enjoy life so long as huvunji sheria na maadili.
Umefanya huu uzi umekua mgumu zaidi kwa kuongeza msamiati."..and that's oval office, my husband is in there somewhere,..he better be cause that's where he said he was"...hehe!
"..and that's oval office, my husband is in there somewhere,..he better be cause that's where he said he was"...hehe!
Umefanya huu uzi umekua mgumu zaidi kwa kuongeza msamiati.
Ebu ngoja nisubiri wengine wakuje watutafsirie sisi ambao hauelewi hii lugha ilio letwa na majahazi
Huyu mwanamama bwana safi sana.
Fanya yote mazuri, enjoy life so long as huvunji sheria na maadili.
Simpendi huyu Mwanamke!
Simpendi huyu Mwanamke!
Michelle anahisi Barack anawezakuwa amempiga changa la macho kwamba yuko oval office kumbe anaji-lewinsky somewhere else?Hakuna misamiati Ushimen, nimeileta hivyo hivyo kama alivosema Michelle.
It's ok. It's your choice. It's your heart doing the hating (or loving for that matter). You are absolutely free to hate or love whoever/whatever you 'like'Simpendi huyu Mwanamke!
Hahaha....HE BETTER BE!"..and that's the oval office, my husband is in there somewhere,..he better be cause that's where he said he was"...hehe!
Michelle anahisi Barack anawezakuwa amempiga changa la macho kwamba yuko oval office kumbe anaji-lewinsky somewhere else?
Una lako jamboSimpendi huyu Mwanamke!
Hataki utani kabisa..afu anaonyesha anadekagaaTeh!, Michelle hataki mchezo.