Michelle Obama is The World's Most Powerful Woman

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
1004_women-top-gaga-clinton-obama-merkel-oprah_390x220.jpg

Meghan Casserly, Forbes.com,10.06.10, 06:00 PM EDT

When it comes to power, cultural impact means as much as money and political influence.
Forbes' power lists are synonymous with moguls and movie stars, heads of state and captains of business. One look at the 2010 World's 100 Most Powerful Women list and it is clear that we've come up with a new ranking of the female power elite that reflects the New Order of now.

When we set out to identify this year's list, we decided it was time to look up and out into the broader culture. Our assessment is based less on traditional titles and roles and more on creative influence and entrepreneurship. These power women have built distinctive companies and brands and championed weighty causes, sometimes through unconventional means; in other cases they have broken through gender barriers.

In Pictures: The World’s 100 Most Powerful Women
Click here to see the full list of The World’s 100 Most Powerful Women
We divided our power women candidates into four groups: politics, business, media and lifestyle (that is, entertainment, sports and fashion). We ranked the women in each group, and then group against group. Not easy, but that's today's reality: an unpredictable, diverse mash-up of hard power (currencies and constitutions) and dynamic power (audience and audacity).

Why else would Lady Gaga (No. 7) and Ellen DeGeneres (No. 10) share top 10 billing with Michelle Obama (No. 1), Irene Rosenfeld, CEO of Kraft Foods ( KFT - news - people ) (No. 2), Secretary of State Hillary Clinton (No. 5) and Indra Nooyi of PepsiCo ( PEP - news - people ) (No. 6)? If anything, it's inspiring.
We included many heads of state and hopeful candidates, but we also have queenmakers

who don't hold office, first ladies of various sorts, Surpreme Court justices and cultural icons, bankers and bestselling authors. We rely on these women for, yes, managing our money, creating paychecks and governing at home and on the international stage, but also what we eat, download, talk about around the dinner table and the causes we support. What we think and how we act.

At the top of our list, First Lady Michelle Obama is a true change-maker since taking lodge in the White House in 2008. The first African-American in the post, she's changed the face of the office (literally), and with consistently high approval ratings, she's given a new generation of girls and women around the world a role model. A former private attorney and public servant in Chicago, her interest in working with young people and

advocating for healthy eating, among other issues, is evidenced by her Let's Move! campaign, which aims to solve the epidemic of childhood obesity within a generation.
Power women are connected, each one leveraging the power of the next. As a result of Let's Move!, for example, major food and drink manufacturers (including Rosenfeld's Kraft Foods and Nooyi's PepsiCo) have pledged to cut 1.5 trillion calories from their products by 2015 through new products, recipes and reduced portion sizes. At the Clinton Global

Initiative (CGI) last month, Secretary of State Clinton led a plenary session on empowering women and girls, a new CGI action area, and attended by Katie Couric (No. 22), Queen Rania Al Abdullah of Jordan (No. 76) and Liberian President Ellen Johnson Sirleaf (No. 86).

Back to how Nooyi and talk show host DeGeneres landed together among the top 10 most powerful women in the world? While Nooyi helms PepsiCo, which has revenues of $43 billion annually and a portfolio of brands that include Tropicana, Frito Lay and Gatorade, DeGeneres directly connects with 3 million viewers daily weekdays through her talk show. And that's just one hour of her day.
Off-camera, the out-and-proud DeGeneres spreads her message to more than 5 million

Twitter followers, notably bringing national attention to a gay teen's fight for same-sex prom dates last spring. Her high-profile, high-energy personality--as a television host, CoverGirl model and former judge of American Idol--has made LGBT issues more than mainstream. She's instilled a sense of glee and attractiveness to it all.

Traditionally, women's lists are heavily salted with the language of "firsts." First woman CEO. First woman on the Supreme Court. First female president. To be sure, there are firsts on this list: Nancy Pelosi is the first female Speaker of the House, while race car driver Danica Patrick is the first (and only) woman to have won an IndyCar series. With the impending launch of OWN, Oprah Winfrey is the first woman to own her own cable network and Julia Gillard and Johnson Sirleaf are currently the first female prime minister

of Australia and Africa's first female president, respectively.
First females make for good copy, but the real headline is that packs have emerged. Three women sit on the Supreme Court, marking an unprecedented tipping point for change. This year Diane Sawyer joined Couric as a female nightly solo news anchor, with Rachel Maddow and Christiane Amanpour as compats. Gillard is among 10 female heads of state on this year's rankings. From Singapore to Silicon Valley, 25 women on the list hold CEO titles.

Ripening for political leaders, generally, comes at the 50s and 60s, while business leaders peak in their 40s and 50s. Media and lifestyle power women seem to come of age in their 20s and 30s. But there are notable exceptions and crossover. Madonna and Arianna Huffington have exceptional staying power, while Sarah Palin and Facebook's Sheryl Sandberg are early bloomers.

Redefining the idea of power as influence is a challenging feat, particularly hard in that we looked at the world in all of its complexities to find the women who wield their importance in four distilled spheres to create change. Add the pace of the year 2010--the speed at which we consume and communicate--and the task becomes even greater.

What we've found is that power, hard or dynamic, can be fleeting. One million or so Twitter followers today can be kissed goodbye as quickly as a company can go bankrupt or a government overthrown. And so we consider this list a frozen moment in time.
We invite you to visit forbes.com/woman where the list will live, breathe and be shaped and reshaped in months to come.

The Most Powerful Women In The World—click on each woman to view profile

1. Michelle Obama, First Lady, U.S.
2. Irene Rosenfeld, Chief Executive, Kraft Foods
3. Oprah Winfrey, Talk show host and media mogul
4. Angela Merkel, Chancellor, Germany
5. Hillary Rodham Clinton, Secretary of State, U.S.
6. Indra Nooya, Chief Executive, Pepsico
7. Lady Gaga, Singer and performance artist
8. Gail Kelly, Chief Executive, Westpac
9. Beyoncé Knowles, Singer and fashion designer
10. Ellen DeGeneres, Talk show host
11. Nancy Pelosi, Speaker of the House, U.S.
12. Angela Braly, Chief Executive, Wellpoint
13. Janet Napolitano, Secretary, Homeland Security, U.S.
14. Cynthia Carroll, Chief Executive, Anglo American
15. Sheila Bair, Chair, Federal Deposit Insurance Corporation
16. Sarah Palin, Political maverick and commentator
17. Mary Schapiro, Chair, Securities and Exchange Commission
18. Ellen Kullman, Chief Executive, DuPont
19. Sonia Sotomayor, Supreme Court Justice, U.S.
20. Ursula Burns, Chief Executive, Xerox
21. Angelina Jolie, Actor and UN Goodwill Ambassador
22. Katie Couric, News anchor
23. Kathleen Sebelius, Secretary, Health & Human Services
24. Anne Lauvergeon, Chief Executive, Areva
25. Elena Kagan, Supreme Court Justice, U.S.
Click Here To See The Next Most Powerful Woman In The World

Source: The World's Most Powerful Women - Manage Your Life on Shine
 
Kwanza orodha ni kichekesho. Ni jambo la ndani ya Marekani. Kama Merkel kutoka Ujerumani ameonekana basi ajabu tayari kidogo kwa jumala hawajui mengi kuhusu dunia halisi.

Kwa hiyo si ajabu ya kwamba hakuna mwanamke Mwislamu anayeonekana.

Napenda kuuliza: Je hata tukiacha mtazamo wa Marekani kando - kuna mwanamke kutoka Waislamu anayeweza kufika karibu na hao 20 au 30 wa juu?
Kama hayuko - kwa nini?
(Ningefurahi sana kama wenzetu mabingwa wa matusi ya kidini wanaweza kusubiri mpaka wengine wamesema - angalau waache matusi ya kawaida kabatini kwa muda)
 
Kwani wakitajwa ndiyo iweje? Hayo ni maoni yao hao waliopiga kura na hayana uhusiano na dini kwa fikra zangu.

Ila muislamu mwanamke katika list wa kwanza ni namba 70 kama sikukosea.
 
Kwanza orodha ni kichekesho. Ni jambo la ndani ya Marekani. Kama Merkel kutoka Ujerumani ameonekana basi ajabu tayari kidogo kwa jumala hawajui mengi kuhusu dunia halisi.

Kwa hiyo si ajabu ya kwamba hakuna mwanamke Mwislamu anayeonekana.

Napenda kuuliza: Je hata tukiacha mtazamo wa Marekani kando - kuna mwanamke kutoka Waislamu anayeweza kufika karibu na hao 20 au 30 wa juu?
Kama hayuko - kwa nini?
(Ningefurahi sana kama wenzetu mabingwa wa matusi ya kidini wanaweza kusubiri mpaka wengine wamesema - angalau waache matusi ya kawaida kabatini kwa muda)

lakini mkuu nchi nyingi za kiislam haziwapi kipaumbele wanawake....mwanamke amekuwa kiumbe dhaifu sana katika jamii yao ndio maana wengi wao sio maarufu duniani......ni mtazamo wangu tuu
 
lakini mkuu nchi nyingi za kiislam haziwapi kipaumbele wanawake....mwanamke amekuwa kiumbe dhaifu sana katika jamii yao ndio maana wengi wao sio maarufu duniani......ni mtazamo wangu tuu
Una point hapa lakini kati ya viongozi wa kwanza wa kike katika nchi kubwa walikuwa Benazir Bhiutto 1988 huko Pakistan na Khaleda Zia huko Bangla Desh 1991.

Hao walitangulia nchi za Ulaya na Marekani kabisa! Ingawa wa kwanza walikuwa Sri Lanka na Bandaranaike!

Kwa hiyo; si dini pekee yake nadhani lakini kwa jumla labda umegonga point yenyewe: Mwanamke anataka kuongoza nchi za Wasislamu anahitaji nguvu jushinda mwanamke sehemu nyingine za dunia.
 
lakini mkuu nchi nyingi za kiislam haziwapi kipaumbele wanawake....mwanamke amekuwa kiumbe dhaifu sana katika jamii yao ndio maana wengi wao sio maarufu duniani......ni mtazamo wangu tuu

Una point hapa

mada hii si ya kidini, ila posti zinakoelekea zinaweza kuchukua mwelekeo wa kidini. preta anadai katika nchi za kiislamu mwanamke ni kiumbe dhaifu, lakini napenda kumwambia hilo sio kweli, pili hali ya kumuona mwanamke ni kiumbe duni kuliko mwanaume ipo kwenye hata ukristo, kuanzia kwenye uumbaji,mpaka anguko la adam na hawa ni mwanamke aliyekuwa blamed mpaka wakati wa agano jipya.

tukisoma waraka wa paulo kwa watu wote, waraka wa kwanza 1petro 3:7 inasema kadhalika ninyi waume,kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima,kama chombo kisicho na nguvu,na kama warithi pamoja wa neema ya uzima...........

na zipo aya kadha wa kadha zinazosema mwanamke yu chini ya mwanaume

binafsi naamini ukristo uliofundishwa karne ya kwanza ni tofauti na wa leo, maana masuala ya haki za binadamu,gender equality ,haki za mashoga ,uhuru wa kuabudu na mengineyo ni mambo ambayo yaliletwa nyakati za baadae ili kuweka amani pamoja na zile jamii za kipagani zilizokataa ukristo. bahati mbaya baadhi ya mambo hayo yamekuja kuonekana na kuwa sio tatizo kuyachanganya na ukristo wa kisasa

bahati mbaya zaidi huwezi kutofautisha baina ya ukristo na wazungu ijapokuwa ni vitu tofauti,watu wanafikiri kinachokuwa halali kufanywa na wazungu au ustaarabu wa kizungu ni halali kuingizwa kwenye ukristo. ndio maana siku hizi ukiangalia makanisa ya kipentekoste ya ulaya na america utashangaa kuona wanaume wamevaa hereni au wamenyoa denge ijapokuwa si vitu halali kwa wanaume kuvaa.

pointi yangu hapa ni kuwa wanawake wa kiislamu imekuwa ngumu kidogo kutokana na kufuata ipasavyo miiko ya dini yao ilhali katika ukristo wa sasa wanawake wamepewa nguvu za kufanya yaleyale wafanyayo wanaume ijapokuwa biblia haikuwa ikiwapa nguvu hiyo na pia ndio maana hadi leo kanisa la kirumi limeendelea kuwakatalia wanawake kupata daraja za upadri kwani biblia hairuhusu jambo hilo

im sorry kwa kuleta maelezo mengi ya kidini katika thread isiyokuwa ya kidini ila muelekeo wa baadhi ya posts umelazimisha hilo.
 
Kwanza orodha ni kichekesho. Ni jambo la ndani ya Marekani. Kama Merkel kutoka Ujerumani ameonekana basi ajabu tayari kidogo kwa jumala hawajui mengi kuhusu dunia halisi.

Kwa hiyo si ajabu ya kwamba hakuna mwanamke Mwislamu anayeonekana.

Napenda kuuliza: Je hata tukiacha mtazamo wa Marekani kando - kuna mwanamke kutoka Waislamu anayeweza kufika karibu na hao 20 au 30 wa juu?
Kama hayuko - kwa nini?
(Ningefurahi sana kama wenzetu mabingwa wa matusi ya kidini wanaweza kusubiri mpaka wengine wamesema - angalau waache matusi ya kawaida kabatini kwa muda)


Mkuu ni jambo la kujua kwamba nchi kama india na uarabuni wanawake hawaheshimiki they are just as sexiests wanawake huwekwa katika mstari wa nyuma ili ya wanaume yawe mbele. Bado wana mfumo dume ndiyo maana vya feminism vikaanza kwani yote haya yalionekana. Na ni gazeti la fpobes na siyo marekani wala tanganyika mbona kuna wanawake wachache kama huyo wa kihindi excutive chair wa PEPSICO? Pia hata kule uchina mwanamke hana haki mkuu.
 
Kwangu binafsi hao ni katika mawazo ya huyo alieandika na walowapendekeza hao wanawake.

Mimi kwangu The Most Powerful Woman Duniani hapa ni MAMA YANGU MZAZI....Naye pia ndiye Role Model wangu. Siishi kumwombea Mema, na pia kumshuru Mungu!
lakini mkuu nchi nyingi za kiislam haziwapi kipaumbele wanawake....mwanamke amekuwa kiumbe dhaifu sana katika jamii yao ndio maana wengi wao sio maarufu duniani......ni mtazamo wangu tuu
Preta
Nahisi hufahamu Umuhumu wa Bikira Maria (Bi Mariam) kwa waislamu, sidhani kama ungesema hivi.
 
Mkuu ni jambo la kujua kwamba nchi kama india na uarabuni wanawake hawaheshimiki they are just as sexiests wanawake huwekwa katika mstari wa nyuma ili ya wanaume yawe mbele. ..
Asante kwa mchngo wako lakini juu ya Uhindi - walikuwa tayari na kiongozi wa kitaifa wa kike (Indira Ghandi) na wanawake kama viongozi wa kijimbo. Angalia TZ au Kenya - wapi wanamke mwenye madaraka ya kweli??? Vilevile Sri Lanka ambayo kidogo ni kama sehemu ya Uhindi kiutamaduni walikuwa nchi ya kwanza na mkuu wa serikali Bandaranaike miaka ya 1960 nisipokosei.

Kuhusu Saudi siwezi kupinga; wakinamama hawaruhusiwi kuendesha magari, lakini wanaruhusu masheikh kutumia TV kwa kutangaza wanawake ni viumbe vya ngaziya chini, na nchi kadhaa zinazotumia Sharia wanatumia utaratibu mahakamani eti ushahidi wa mwanamke ni nusu ya mwanaume.
 
Nahisi hufahamu Umuhumu wa Bikira Maria (Bi Mariam) kwa waislamu, sidhani kama ungesema hivi.
Unaona umuhimu wa Bikira Mariamu ungempatia laiseni ya kuendesha gari huko Saudia?
Au msimamo wa kutoa ushuhuda mahakamani unaokubaliwa sawa na ushuhuda wa wavulana wa miaka 14?
 
Kwanza orodha ni kichekesho. Ni jambo la ndani ya Marekani. Kama Merkel kutoka Ujerumani ameonekana basi ajabu tayari kidogo kwa jumala hawajui mengi kuhusu dunia halisi.

Kwa hiyo si ajabu ya kwamba hakuna mwanamke Mwislamu anayeonekana.

Napenda kuuliza: Je hata tukiacha mtazamo wa Marekani kando - kuna mwanamke kutoka Waislamu anayeweza kufika karibu na hao 20 au 30 wa juu?
Kama hayuko - kwa nini?
(Ningefurahi sana kama wenzetu mabingwa wa matusi ya kidini wanaweza kusubiri mpaka wengine wamesema - angalau waache matusi ya kawaida kabatini kwa muda)

wewe Kipala hapa si mahali hapa Dini Usilete Ligi zako za Dini hapa tunachotaka ni ushahidi wewe leta ushahidi wako wa kumpinga Michelle Obama, Usilete mambo ya Ligi hapa. Katika watu walikuwa wabishi ndani ya hii Jamii Forums wewe Kipala ni namba moja.
 
wewe Kipala hapa si mahali hapa Dini Usilete Ligi zako za Dini hapa tunachotaka ni ushahidi wewe leta ushahidi wako wa kumpinga Michelle Obama, Usilete mambo ya Ligi hapa. Katika watu walikuwa wabishi ndani ya hii Jamii Forums wewe Kipala ni namba moja.

Asante kwa maneno yako ya kuonyesha heshima, ungwana na upendo. Labda una neno kuhusu jambo lenyewe.
(Samahani kuhusu Michelle sijasema kitu, sivyo?)
 
on what grounds...... that a BIG joke..... i see no impact or any influence michele has outside of the USA...... what ahhpen to geramny chancellor.......
 
Jamani kwani Africa haikuwa na wawakilishi au ndo kusema tumeshika mkia? any woman from Africa please?
 
Jamani kwani Africa haikuwa na wawakilishi au ndo kusema tumeshika mkia? any woman from Africa please?

Wamemweka Ellen Johnson-Sirleaf namba 87 (baada ya fashion models , na kwa mfano Lady Gaga namba 7!!) Hii orodha ni mfano tu wa uhaba wa elimu huko Marekani, nadhani.

Swali langu lilikuwa kama sisi tungefanya orodha yetu- tungeona wapi wanawake kutoa nchi za Kiislamu (ambao wana 20 - 25 % za watu duniani!)

Halafu: Je hali ya Afrika ya Mashariki ingekuwa afadhali kama nafasi ya wanawake ingekuwa kubwa zaidi ?

Jinsi ilivyo leo katika nchi zifuatazo:

Rais wa nchi ni mwanamke katika nchi zifuatazo:
Uswisi, Ujerumani, Kroatia, Iceland, Slovakia, Ufini (Finlandi),

Kiongozi wa serikali (waziri mkuu, chansella n.k.) ni mwanamke katika nchi zifuatazo: Costa Rica, Kirgisistan , Lithuania, India, Argentina, Liberia , Finlandi, Eire (Ireland), San Marino, Chile
 
The World's Most Powerful Woman


Margaret Thatcher and


Madeleine Albright


Prime Minister of the United Kingdom
In office
4 May 1979 – 28 November 1990 Monarch Elizabeth II Deputy William Whitelaw
Geoffrey Howe Preceded by James Callaghan Succeeded by John Major
Madeleine Albright
64th United States Secretary of State
In office
January 23, 1997 – January 20, 2001 President Bill Clinton Preceded by Warren Christopher Succeeded by Colin Powell

Condoleezza Rice
66th United States Secretary of State
In office
January 26, 2005 – January 20, 2009 President George W. Bush Deputy Richard Armitage (2005)
Robert Zoellick (2005–2006)
John Negroponte (2007–2009) Preceded by Colin Powell Succeeded by Hillary Rodham Clinton
 
Back
Top Bottom