hii thread inalengo gani au inafundisha nini jamani?nisaidieni maan sijaelewa lengo lake kuwekwa hapa.kama nguo ni nzuri,kavaa vizuri.mkutano sawa umefanyika kaudhuria,ngo ya clinton sawa ipo inafanya shughuli zake kama kawa,nisaidieni jamani kingereza nachenyewe shida yaweza kuwa ndo tatizo langu.
Hii thread inaongelea fashion. Double prints yaani chini kavaa skirt ya machorochoro au maua na juu vile vile kavaa blouse yenye machorochoro au maua ambayo hayajalingana na machoro/maua yaliyomo kwenye skirt
Ila sijui kama mtoa mada alielewa kilichokuwa kinazungiwa
btw .......the double prints look is a bit crowded for my liking.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.