Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
mbona sijamuona mama Salma Kikwete au hajaenda huko
Mkuu nadhani hao ni wake wa nchi 20 vigogo duniani, wale wanacontrol hali yangu na yako ya maisha na kila kitu!
Salma nadhani yeye ameishia tu NY