Michango ya wadada wa JF iko biased!!

Maoni yangu...
wapo wachache but they are very strong... mfano ni MS, Gaijin, nk
majority of them hawakujoin JF kutafuta stress... wali-join kuondoa stress na ndio maana lile jukwaa linawafaa sana kwani ni stress release agent!!

sie akina baba, ni fululu-fululu
 
Maoni yangu...
wapo wachache but they are very strong... mfano ni MS, Gaijin, nk
majority of them hawakujoin JF kutafuta stress... wali-join kuondoa stress na ndio maana lile jukwaa linawafaa sana kwani ni stress release agent!!

sie akina baba, ni fululu-fululu

Mkuu mbona hujibu PM ama mpaka ziwe zinatoka kwa mabinti? LOL
 
Naam maana wana majina ya kike na avatar zao ni picha za wanawake, pamoja na kuwa tunatumia majina ya bandia sidhani kama mwanaume anaweza kutumia jina la kike hapa jukwaani na kuweka avatar ya picha ya mwanamke, labda kama kuna kasoro fulani.


I never thought you could be this naïve...
 
BAK anasoftware ya kuona jina la jinsia.

Hahahahahahahah ingekuwepo software kama hiyo ingepata soko kubwa duniani. Si unajua tena siku hizi kutafuta GF/BF/Mchumba online ni kitu cha kawaida. Sasa kama mdada/njemba inasema uongo kuhusu jinsia yake basi unaituma tu software ikufanyie kazi na kukupa jibu.
 
ooh lord, where is WOS when you need her most

MJ1, can you deputise for WoS
Haya Kunani???
Kusema ukweli nimepitia hii thread nikaona ni haki ya mtoa mada kutafakari na kuuliza alichouliza.Kama anaona wanawake hawashiriki vilivyo katika majukwaa magumu hayo ni maoni yake na ana haki ya kuona hivyo.

Ukweli utabakia kuwa katika jamii kuna uchaguzi kwa kila mtu kuamua nini anakimudu au kinampendeza. Humu JF naamini kabisa wanawake hawajapwaya kwenye majukwaa yawe ni Siasa, Uchumi, Lugha, mambo ya kimataifa , sayansi na teknolojia n.k.

Labda tunaweza kusema kuwa kila MTU hujikuna pale anapofikia.Huwezi kulazimisha kama eneo husika huna zana au nyenzo za kutosha kujadili vinginevyo utaonekana kituko.
 
sisi ni viumbe weak,hatuwezi kuhimili mikiki mikiki-hizi pressure na stress za siasa hatuziwezi kwanza zinaweza kutufanya tuwe na mikunjo usoni halafu tusivutie bureeeeeeeeeeee.......(hahaha nangoja wale wabeijing aka women rights activists waje kunipopoa mawe hapa.......ngoja nijifiche kny haya masofa...:behindsofa::behindsofa::behindsofa:

Hivi kule Beijing walifuata nini vile?
Mama yangu mwlm alienda alipo rudi akaniletea Yashika Camera...zawadi yangu.
 
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili

.......umenifurahisha sana, ila hata mimi sijui kwa nini napenda jukwaa la mahusiano kuliko jukwaa la siasa.Ujue siasa longo longo nyingi, halafu kuna bore sana maana hata ukiongea sana kuhusu siasa hakuna mabadiliko yoyote hali ya umasikini wa nchi unabaki pale pale.
 
Tupo sana mawenzi na majukwaa yote tunazunguka ,ila jukwaa la siasa ni gumu Ndugu,wanaliweza wenyewe wengine tunachungulia na kutoka pale panapotugusa tunatoa thanx kwenye kandanda tupo tunachangia ,

well said
 
Umejuaje "gender" za members wa JF?

Mara nyingi si lahisi mtu kuficha Gender yake maana ni maumbile. Najua kuna exceptions, lakini kwa wengi ni lahisi kugundua aliyeandika ni mume au mke. Kuhusu akina dada kutoshiriki kwenye siasa, nafikiri jambo hili linadhihirika hata mitaani tuishiko, akina mama wengi wanapenda kilichopo maana wanajua kilivyo. Huenda hata Chama Tawala kimekuwa kikiitumia hiyo nafasi ku-invest zaidi kwa akina mama hata kwa kuwadanganya na vitu vidogovidogo. Ila uongo huu ni wa muda maana mwanamke akigundua ulikuwa ukimtumia kwa manufaa yako, hasira yake huhitaji juhudi kubwa kuizima, waweza pia usifanikiwe.
 
Back
Top Bottom