Michango ya wadada wa JF iko biased!!

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
344
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili
 
Uko sahihi kwa kiasi kikubwa lakini wanao uhuru wa kuchagua wachangie nini na wapi. Hata magazeti wanayoyapenda si unayajua? Ni uhuru huo Mkuu
 
Wala usiwe na hofu mukubwa....ndio wadada/wamama/wanawake tulionao nchi hii,wengi wao hukijiweka mbali na siasa,na hawa waJF si ndo hao hao.Huwa hawapendi kujihusisha na mambo magumu,sasa sijui ndo athari za mfumo dume..!
 
jamani kichwa cha habari chenyewe kiko biased. wengine mbona tunajivinjari na kuacha nyayo zetu almost kila jukwaa? thanks for challenging us though
 
Hongera kwa kujitokeza kuwakilisha otherwise response ya thread hii pia ulikuwa ushahidi tosha kuwa hampo interested na mambo mengine
 
sisi ni viumbe weak,hatuwezi kuhimili mikiki mikiki-hizi pressure na stress za siasa hatuziwezi kwanza zinaweza kutufanya tuwe na mikunjo usoni halafu tusivutie bureeeeeeeeeeee.......(hahaha nangoja wale wabeijing aka women rights activists waje kunipopoa mawe hapa.......ngoja nijifiche kny haya masofa...:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
 
Msemakweli mpenzi wa Mungu. Afadhali umekuwa mkweli
 
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili
Thread hii imepotea njia ilipaswa kuwa kwenye jukwaa la habari mchanganyiko na sio jukwaa la siasa Mood tulinde.
 
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili

Kwani unajuaje jinsia za watu wanapochangia?
Kwa kuangalia avatar? Au majina?
Think again....
 
Ukiwa great thinker wa ukweli, utajua tu kwamba mchangiaji men au beijing! Otherwise ujue huyo mporipori km Raj Patel
 
Haya Great thinker wa kweli!
Unawajua impostors? Some of us can be very good!
 
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili
I mostly contribute on political threads..maybe jina limekaa kushoto, eng Nsiande
 
kawaida yao hao wengi wao huwezi kuwakuta kwenye siasa na kwenye soka wachache sana wanaoonekana kwenye anga hizo. Wao wape habari za kina Ray, kanumba,kwa ujumla wasanii na superstars ambao sio wanasiasa na magazeti mengi wanayosoma ni ijumaa, sani, kiu, uwazi ili waone zile habari za "fulani abambwa laivu akila uroda mheshimiwa mb.......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Doh! I know the biggest fans of udaku mags are hairdressers and housegirls,
 
sisi ni viumbe weak,hatuwezi kuhimili mikiki mikiki-hizi pressure na stress za siasa hatuziwezi kwanza zinaweza kutufanya tuwe na mikunjo usoni halafu tusivutie bureeeeeeeeeeee.......(hahaha nangoja wale wabeijing aka women rights activists waje kunipopoa mawe hapa.......ngoja nijifiche kny haya masofa...:behindsofa::behindsofa::behindsofa:

hapana dear, hapo nakukatalia kabisa tena kwa nguvu. mimi si kiube dhaifu kama wapo basi ni wengine. udahaifu wenyewe uko wapi? he, nipo fiti mwenzangu usinijumlishe huko. na wangejua sisi ndio tunaotawala dunia! siku nyingine itawafafanulia kauli yangu hii
 
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili

tunachangia bwana. Sa zingine huwa tunasoma halafu hatucomment ila jukwaa la siasa tunaliptia sana.
Tatizo habari za huku zinaumiza sana.
Kabla hujamaliza kuisoma michozi hiyo unashindwa hata kuchangia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom