Michango maalum ya "harusi" kila mwezi kwa ajiri ya JF

Mtoto,

Changamoto yako ni nzuri na shule za mfano tutajenga bila tatizo. Lakini ni lazima kwanza tuhakikishe kuwa JF inaendeshwa na wanachama wake ambao ni sisi bila ya utegemezi wowote ule.

Kama shilingi elfu 3,000 kwa mwezi zinaonekana ni nyingi, naomba basi kila mmoja wetu awe anaichangia JF shilingi elfu moja tu (1,000) kila wiki kwa angalau wiki 10 katika mwaka mmoja kati ya wiki 52 tulizonazo kila mwaka.

MUNGU azidi kuwabariki.

Baada ya kuiwezesha JF kusimama yenyewe bila tatizo, hatua itakayofuata ni kuanzisha JAMIIFORUMS ENDOWNMENT FUND (JFEF). kazi kubwa ya mfuko huu (jfef) itakuwa ni kuwekeza katika miradi mbalimbali yenye faida moja kwa moja kwa jamii yetu. Eneo kuu litakuwa ni ELIMU na KILIMO.

Nawatakia wote kazi njema na mafanikio zaidi katika shughuli na kazi zenu.

Josephat Simon Sabi Sanda
0787 535323 & 0712 540 415
Dar es Salaam
Tanzania
 
Back
Top Bottom