Michango JF 2010: Updates

Status
Not open for further replies.

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,196
13,186
Tunawashukuru wote mliotuchangia kwa mwaka 2009, list ipo hapa:

Ieleweke kuwa SI LAZIMA kuchangia JF, maana wengine nimeona wakilalamika kuwa wanatozwa hela hapa. Hatuna lengo la kuanza kutoza mtu hela na wote wanaoonakana kwenye hii list ni kuwa wamefanya hivyo kwa hiari zao na mapenzi yao kwa JF.

Bonyeza hapa ili kujua jinsi ya kuchangia:

JINSI YA KUICHANGIA JF (CLICK TO READ)

Aidha, tunashukuru kwa wote ambao mmeendelea kuwa pamoja nasi bila kulazimishwa na yeyote kuchangia gharama za uendeshaji, mpaka sasa waliochangia kuanzia Januari 1, 2010 ni wafuatao (kwa mpangilio walivyoanza kuchangia):

  1. Undisclosed - USD 100.00
  2. ByaseL - Tshs 10,000/=
  3. Undisclosed - Tshs 10,000/=
  4. Preta - Tshs - 10,000/=
  5. Arsene Wenger - US $ 20.00
  6. Undisclosed - Tshs 20,000/=
  7. MpendaTz - Tshs 100,000/=
  8. Undisclosed - USD 50.00
  9. Undisclosed - Tshs 50,000/=
  10. Ludovick Mwijage - Tshs 300,000/=
  11. Obi - Tshs 15,000/=
  12. Guyana Halima - Tshs 10,000/=
  13. Pape - Tshs 5,000/=
  14. Baba_Enock Tshs 5,000/=
  15. Mchapakazi - US$ 10.00
  16. jmushi1 - USD 20.00
  17. Jayfour_King - Tshs 10,000/=
  18. Undisclosed - Tshs 5,000/=
  19. Kosmio - Tshs 10,000/=
  20. Kite Munganga - Tshs 10,000/=
  21. BeNoir - USD 100.00
  22. Lily Flower - Tshs 10,000/=
  23. Dark City - Tshs 10,000/=
  24. Liz Senior - Tshs 10,000/=
  25. Undisclosed - Tshs 20,000/=
  26. ELNIN0 - Tshs 10,000/=
  27. Sanctus Mtsimbe - Tshs 50,000/=
  28. Allien - Tshs 20,000/=
  29. Superman - Tshs 30,000/=
  30. Gender Sensitiv - Tshs 10,000/=
  31. PakaJimmy - Tshs 15,000/=
  32. Undisclosed - Tshs 309,163/=.
  33. Yetu Macho - Tshs 25,000/=
  34. Undisclosed - Tshs 10,000/=
  35. TheBestCar - Tshs 10,000/=
  36. Ndahani - Tshs 5,000/=
  37. Chimunguru - Tshs 5,000/=
  38. Dreamliner - Tshs 20,000/=
  39. ByaseL - Tshs 5,000/=
  40. AK-47 - Tshs 5,000/=
  41. Bigirita - Tshs 15,000/=
  42. MziziMkavu - Tshs 20,000/=
  43. Mndundu - USD 10.00
  44. Mchukia Fisadi - Tshs 10,000/=
  45. Chimunguru - Tshs 5,000/= (2nd time)
  46. Kishaini - Tshs 10,000/=
  47. Enny - Tshs 50,000/=
  48. Fernandes Rodri - Tshs 10,000/=
  49. Pilato2006 - Tshs 5,000/=
  50. Mike 1234 - Tshs 20,000/=
  51. WomanOfSubstance - USD 100.00
  52. Selous - Tshs 30,000/=
  53. Mwanitu - Tshs 10,000/=
  54. Hassani - Tshs 10,000/=
  55. Nyamgluu - Tshs 10,000/=
  56. Balance - Tshs 10,200/=
  57. LilSun - USD 12.00
  58. UNREGISTERED - Tshs 11,000/=
  59. Sanctus Mtsimbe - USD 15.00
  60. Allien - USD 10.00
  61. Ab-Titchaz - USD 100.00
  62. Superman - USD 10.00
  63. Liz Senior - Tshs 5,000/=
  64. Masikini_Jeuri - Tshs 30,000/=
  65. Bicha - Tshs 5,000/=
  66. Undisclosed - Tshs 15,000/=
  67. Malaika (not registered) - Tshs 50,000/=
  68. generation-Y - Tshs 10,000/=
  69. Nyani Ngabu - USD 10.00
  70. Pretty - Tshs 10,000/=
  71. Maria Roza - Tshs 36,400/=
  72. pmwasyoke - Tshs 10,000/=
  73. Kosmio - Tshs 10,000/=
  74. Sarah Said - Tshs 5,000/=
  75. Kunta Kinte - Tshs 30,000/=
  76. We Know Next - Tshs 5,000/=
  77. Negotiator - Tshs 10,000/=
  78. PayGod - Tshs 6,000/=
  79. We Know Next - Tshs 10,000/=
  80. Kibunango - Euro 10.00
  81. MANI - Tshs 10,000/=
  82. Kagemro - Tshs 40,000/=
  83. Akellei - Tshs 10,000/=
  84. Butterfly - Tshs 10,000/=
  85. Nyange - Tshs 10,000/=
  86. We Know Next - Tshs 10,000/=
  87. Njowepo - Tshs 25,000/=
  88. Akellei - Tshs 10,000/=
  89. boma2000 - Tshs 10,000/=
  90. Mzee wa Rula - Tshs 10,000/=
  91. Lalashe - Tshs 5,000/=
  92. UNDISCLOSED Member - Tshs 1,000,000/=
  93. Ivuga - Tshs 5,000/=
  94. Ng'wanangwa - Tshs 10,000,000/=
  95. pmwasyoke - Tshs 10,000/=
  96. MwanajamiiOne - Tshs 10,000/=
  97. genekai - Tshs 30,000/=
  98. Amina Thomas - Tshs 10,000/=
  99. uporoto01 - Tshs 7,000/=
  100. Bulesi - Tshs 10,000/=
  101. Sarah Said - Tshs 5,000/=
  102. Jakathesi. - USD 10.00
  103. Emasa - Tshs 20,000/=
  104. Husninyo - Tshs 7,000/=
  105. Mungi - Tshs 8,000/=
  106. Husninyo - Tshs 12,000/=
  107. GY - Tshs 10,000/=
  108. Kivumah - Tshs 5,000/=
  109. Chomachoma - €7.90
  110. Son of Alaska - USD 10.00
  111. Sungusia - Tshs 10,000/=
  112. Mp Kalix2 - Tshs 5,000/=
  113. Maty - Tshs 20,000/=
  114. Iza - Tshs 10,000/=
  115. Mwenzetu - Tshs 50,000/=
  116. WiseLady - Tshs 10,000/=
  117. Nyumbu- - Tshs 10,000/=
 
Tunashukuru leo tumepata mchango toka kwa mdau Nyamayao. Mungu akuzidishie mkuu
 
Tunamshukuru Preta kwa kuchangia kiasi cha Tshs 10,000/= hii leo kwa ajili ya kuiwezesha JF kwa mwaka 2010. Mwenyezi Mungu akubariki sana!
 
Tunamshukuru Arsene Wenger kwa kuchangia kiasi cha US$ 20.00 hii leo kwa ajili ya kuiwezesha JF kwa mwaka 2010. Mkuu shukrani sana
 
Tangu niandike mchango wa mkuu Arsene Wenger kuna wengine wamechangia mpaka leo:

  1. Undisclosed - Tshs 20,000/=
  2. MpendaTz - Tshs 100,000/=
  3. Undisclosed - USD 50.00
  4. Undisclosed - Tshs 50,000/=
  5. Baba Asia - Tshs 300,000/=
  6. Obi - Tshs 15,000/=
Wakuu tunashukuru kwa michango yenu. Ambao wameandikwa 'Undisclosed' hawakutaka majina yao yaandikwe lakini kwakuwa tunataka kuweka records sawa basi tumeonelea ni vema kuandika kiasi kilichochangwa. Shukrani sana wakuu.
 
Kwa jana tarehe 20 na leo 21 Jan 2010 tumepokea michango toka kwa wakuu:

  1. Guyana Halima - Tshs 10,000/=
  2. Pape - Tshs 5,000/=
  3. Baba_Enock Tshs 5,000/=
Wakuu tunashukuru sana kwa michango yenu na Mungu awazidishie.
 
Leo tumepokea mchango toka kwa Mkuu Mchapakazi, mkuu tunashukuru sana kwa mchango wako na Mungu akuzidishie.
 
Leo tumepokea mchango wa Tshs 10,000 toka kwa mkuu Jayfour_King. Mkuu tunashukuru sana kwa mchango wako!
 
Leo tumepokea michango toka kwa wakuu wawili, mdau mmoja hakutaka jina lake litajwe kachangia Tshs 5,000/= na mwingine ni Kosmio kachangia Tshs 10,000/=.

Wakuu tunashukuru sana kwa michango yenu
 
Leo tumepokea mchango wa Tshs 10,000/= toka kwa mkuu Kite Munganga na USD 100.00 toka kwa BeNoir. Wakuu tunashukuru sana kwa michango yenu.
 
Leo tumepokea mchango wa Tshs 10,000/= toka kwa mdau Lily Flower. Mkuu tunashukuru sana kwa mchango wako na Mungu akuzidishie.
 
Leo tumepokea michango toka kwa wakuu Dark City na Liz Senior - Tshs 10,000/= kila mmoja. Wakuu tunashukuru sana kwa kutuwezesha na Mungu awazidishie.
 
Tunamshukuru 'mdau flani' ambaye hakutaka kutajwa jina ametuchangia Tshs 20,000/=. Mkuu tunashukuru sana kwa mchango wako.
 
Leo tumepokea michango toka kwa wakuu hawa:

  1. ELNIN0 - Tshs 10,000/=
  2. Sanctus Mtsimbe - Tshs 50,000/=
  3. Allien - Tshs 20,000/=
  4. Superman - Tshs 30,000/=
  5. Gender Sensitiv - 10,000/=
Wakuu tunashukuru sana kwa michango yenu, Mungu awazidishie!

 
Tunamshukuru mkuu Gender Sensitiv kwa mchango wake wa Tshs 10,000/= wa hivi punde (leo). Mkuu Mungu akuzidishie!
 
Tunamshukuru mkuu PakaJimmy kwa mchango wake wa Tshs 15,000/= wa hivi punde (leo). Mkuu Mungu akuzidishie!
 
Tunamshukuru Mkuu 'Flani' (hakutaka kutajwa jina) kwa mchango wake ambao tumeupokea leo wa Tshs 309,163/=. Mkuu Mungu akuzidishie!
 
Tunawashukuru wakuu wafuatao ambao kwa leo na jana tumepokea michango yao katika kuiwezesha JF:

  1. Yetu Macho - Tshs 25,000/=
  2. Undisclosed - Tshs 10,000/=
Wakuu tunashukuru sana kwa michango yenu na Mungu awazidishie

 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom