Michango imezidi na tuition za lazima shule ya msingi 'MINAZI MIREFU/AIR WING Ukonga!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Salamu zikufikie ewe waziri wa elimu na jopo lako.
Kilio changu kwako ni michango ya kila wiki ktk shule ya msingi 'MINAZI MIREFU na AIR WING,sijui kama ndio mishahara tunalipa sisi wazazi au lah.

Michango hii imepewa majina ya kuvutia ili kuwaadaa wazazi.
La pili ni tuition za lazima,na mtoto asiposoma tuition hapo hapo shuleni,tuition ambayo ni tsh5,000 kwa mwezi eti mtoto anakula mboko,kwani ni lazima mtoto wangu asome tuition hapo shuleni?hivi kwani hapo ni shuleni au ni tuition centre?
Huu upumbavu usipokomeshwa basi jiandaeni kwa maafa makubwa.Wazazi tumefanya kikao na tumefikia kwa kauli moja kwamba michango hiyo lazima ikomeshwe mara moja!!!
La mwisho ni juu ya mchango wa boresha elimu, mh naomba ufafanuzi juu ya hili?jee ni lazima au ombi?na hiyo elimu anaboreshewa nani endapo mtoto wa darasa la 4 hajui ata kuandika jina lake?simple!huu mchango naona sii wa boresha elimu,bali ni wa boresha tumbo!
Maana leo ni siku ya tatu mwanangu hataki kwenda shule anaogopa bakora kwa kukosa pesa ya boresha ekimu.Sasa nimeamua kumnyima pesa na kesho aende shule ili nimjue huyo kidume aliyetia mbegu kwa mke wangu na kumzaa huyo mtoto,na ole wake atakayemgusa kwa kumchapa viboko,nyambafu zake atanijua mimi ni nani.Huu upumbavu na ujinga sasa mimi ntaukomesha kwa mikono yangu,vinginevyo wambie walimu wako wajiandae kula kichuri cha kinyesi!
Yani mtoto wa darasa la pili analipa zaidi ya tsh 150,000 kwa mwaka?huu ujinga ujinga wa kuwachangia walimu wenu pesa za vipodozi na mafuta ya magari yao sasa basi na lazima ukomeshwe.
Mh waziri nimeamua kukupa taarifa hizi kupitia JF maana ndio sehemu pekee utakayo pata taarifa kwa wepesi.

Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki CCM!!
 
Daaaa nimesikitika sana kusikia taarifa hii inatokea ktk shule ambayo ndio chacho na msingi wa kuelimika kwangu, maana nimesoma hapo, enzi zile ikiwa minazi mirefu tu. NADHANI LA MUHIMU NI NINYI WAZAZI MKAJIKUSANYA NA KUOMBA KUKUTANA NA UONGOZI WA SHULE ILI WAWAELEZE VIZURI JUU YA HIYO MICHANGO (ILA NAKUMBUKA ENZI ZILE ZA MKUU KITALI NA PILLA, WAZAZI WALIKUWA WANAITWA NA KUJADILIANA JUU YA HONGEZEKO LA MICHANGO,) SASA HII UNAYOSEMA INA MAANA WAZAZI HAWAKUSHIRIKISHWA?
 
Walimu wamefanya elimu ujasiria mali adi mtoto wa chekechea wanamtoza ela ya tution
 
Daaaa nimesikitika sana kusikia taarifa hii inatokea ktk shule ambayo ndio chacho na msingi wa kuelimika kwangu, maana nimesoma hapo, enzi zile ikiwa minazi mirefu tu. NADHANI LA MUHIMU NI NINYI WAZAZI MKAJIKUSANYA NA KUOMBA KUKUTANA NA UONGOZI WA SHULE ILI WAWAELEZE VIZURI JUU YA HIYO MICHANGO (ILA NAKUMBUKA ENZI ZILE ZA MKUU KITALI NA PILLA, WAZAZI WALIKUWA WANAITWA NA KUJADILIANA JUU YA HONGEZEKO LA MICHANGO,) SASA HII UNAYOSEMA INA MAANA WAZAZI HAWAKUSHIRIKISHWA?
Hajashirikishwa mtu!
 
Salamu zikufikie ewe waziri wa elimu na jopo lako.
Kilio changu kwako ni michango ya kila wiki ktk shule ya msingi 'MINAZI MIREFU na AIR WING,sijui kama ndio mishahara tunalipa sisi wazazi au lah.

Michango hii imepewa majina ya kuvutia ili kuwaadaa wazazi.
La pili ni tuition za lazima,na mtoto asiposoma tuition hapo hapo shuleni,tuition ambayo ni tsh5,000 kwa mwezi eti mtoto anakula mboko,kwani ni lazima mtoto wangu asome tuition hapo shuleni?hivi kwani hapo ni shuleni au ni tuition centre?
Huu upumbavu usipokomeshwa basi jiandaeni kwa maafa makubwa.Wazazi tumefanya kikao na tumefikia kwa kauli moja kwamba michango hiyo lazima ikomeshwe mara moja!!!
La mwisho ni juu ya mchango wa boresha elimu, mh naomba ufafanuzi juu ya hili?jee ni lazima au ombi?na hiyo elimu anaboreshewa nani endapo mtoto wa darasa la 4 hajui ata kuandika jina lake?simple!huu mchango naona sii wa boresha elimu,bali ni wa boresha tumbo!
Maana leo ni siku ya tatu mwanangu hataki kwenda shule anaogopa bakora kwa kukosa pesa ya boresha ekimu.Sasa nimeamua kumnyima pesa na kesho aende shule ili nimjue huyo kidume aliyetia mbegu kwa mke wangu na kumzaa huyo mtoto,na ole wake atakayemgusa kwa kumchapa viboko,nyambafu zake atanijua mimi ni nani.Huu upumbavu na ujinga sasa mimi ntaukomesha kwa mikono yangu,vinginevyo wambie walimu wako wajiandae kula kichuri cha kinyesi!
Yani mtoto wa darasa la pili analipa zaidi ya tsh 150,000 kwa mwaka?huu ujinga ujinga wa kuwachangia walimu wenu pesa za vipodozi na mafuta ya magari yao sasa basi na lazima ukomeshwe.
Mh waziri nimeamua kukupa taarifa hizi kupitia JF maana ndio sehemu pekee utakayo pata taarifa kwa wepesi.

Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki CCM!!
we unataka si walimu tukale wapi? Shitaki na tigo basi wanavyokula pesa zetu kienyeji
 
...Loh!
Serikali sikivu, tumekusikia, tutalifanyie kazi.

Pole sana mkuu mandieta
 
Una point ila umekasirika. Kuna shule huku kwetu tution ni 40,000 kwa mwezi. Ina maana 120,000 kwa muhula.
Acha michango ya bweni, na mazaga zaga kibao. Halafu shule yenyewe ni ya mission. sijui hizo nyingine itakuwaje. WIZI MTUPU
 
hahahah hii minazi hapa jirani yangu hapa banana au?huku mtoto asipoenda twisheni ni viboko tuuuuuuu
 
Salamu zikufikie ewe waziri wa elimu na jopo lako.
Kilio changu kwako ni michango ya kila wiki ktk shule ya msingi 'MINAZI MIREFU na AIR WING,sijui kama ndio mishahara tunalipa sisi wazazi au lah.

Michango hii imepewa majina ya kuvutia ili kuwaadaa wazazi.
La pili ni tuition za lazima,na mtoto asiposoma tuition hapo hapo shuleni,tuition ambayo ni tsh5,000 kwa mwezi eti mtoto anakula mboko,kwani ni lazima mtoto wangu asome tuition hapo shuleni?hivi kwani hapo ni shuleni au ni tuition centre?
Huu upumbavu usipokomeshwa basi jiandaeni kwa maafa makubwa.Wazazi tumefanya kikao na tumefikia kwa kauli moja kwamba michango hiyo lazima ikomeshwe mara moja!!!
La mwisho ni juu ya mchango wa boresha elimu, mh naomba ufafanuzi juu ya hili?jee ni lazima au ombi?na hiyo elimu anaboreshewa nani endapo mtoto wa darasa la 4 hajui ata kuandika jina lake?simple!huu mchango naona sii wa boresha elimu,bali ni wa boresha tumbo!
Maana leo ni siku ya tatu mwanangu hataki kwenda shule anaogopa bakora kwa kukosa pesa ya boresha ekimu.Sasa nimeamua kumnyima pesa na kesho aende shule ili nimjue huyo kidume aliyetia mbegu kwa mke wangu na kumzaa huyo mtoto,na ole wake atakayemgusa kwa kumchapa viboko,nyambafu zake atanijua mimi ni nani.Huu upumbavu na ujinga sasa mimi ntaukomesha kwa mikono yangu,vinginevyo wambie walimu wako wajiandae kula kichuri cha kinyesi!
Yani mtoto wa darasa la pili analipa zaidi ya tsh 150,000 kwa mwaka?huu ujinga ujinga wa kuwachangia walimu wenu pesa za vipodozi na mafuta ya magari yao sasa basi na lazima ukomeshwe.
Mh waziri nimeamua kukupa taarifa hizi kupitia JF maana ndio sehemu pekee utakayo pata taarifa kwa wepesi.

Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki CCM!!

"IF u think that education is more expensive try ignorance"
 
Kwa kweli sis watanzania ni watu wa ajabu sana. tunalalamika kwa kila kitu.
Wote tumekubali kuwa walimu kwa sasa hawatoshi na vilevile kwa shule nyingi kiwango kidogo cha wanafunzi darasani ni 80 kwa darasa[kiufundi hata mwalimu akiwa hodari kiasi gani hawezi kumudu darasa la aina hiyo kwa ufanisi].
Matokeo ya mitihani kuanzia primary hadi sekondari matokeo siyo mazuri.
Ili kukidhi haja, waalimu wanatumia muda wao wa ziada [hawalipwi ot] kufundisha watoto kwa sh.5000 tu kwa wiki tunapiga kelele wakati juu ya ugumu wa maisha bado tunahonga sana, tunatoa michango ya harusi kwa wingi, tunagida pombe kama hatuna akili nzuri hatulalamiki kwa haya yote.
Hata hvyo kama utapitia matokeo ya mok kwa darasa la saba mwaka huu AA na BB ni nyingi sana kiasi kuna uwezekano mwaka huu watoto wakapasi sana tu. Tunataka elimu bora lakini hatutaki kuchanga ili upatikane ubora stahili.
 
Humo kwenye red mkuu,Imekuonyesha ni jinsi gani usivyoijua tanzania na watanzania,unafiri kwamba watanzania wote kipato chao kiko sawa?aya piga 5,000x4=20,000 per monthxyear?=240,000.Hivi hii ndio elimu ya msingi ambayo kila mtoto wa kitanzania anatakiwa kuipata free bila ubaguzi wa aina yoyote??????
Still bado kumuandikisha mtoto kuanza shule au kuamia ni lazima uwe na kiasi kinachokaribia 65,000,na nimeona mchezo huu upo zaidi hapa Dar why?
Huu ni upumbavu na hatupaswi kuutetea,inatakiwa tuupige vita ili serikali iamuke na kuwaongezea mishahara!
 
Punguza vijianasa visivyo na mpango au nenda shule kawaarifu waalimu kuwa wewe hutaki mwanao afanye masomo ya ziada.
Mimi binti yangu alivyokuwa shule ya msingi alikuwa hamudu kabisa masomo ya hesabu na sayansi waalimu walinishauri afanye extra tuition hapo shuleni. Hivyo ikawa baada ya masomo yeye pamoja na wenzake ambao maendeleo yao hayakuwa mazuri waliendelea na masomo hadi saa 11 kila siku na jmosi hadi saa 6. Matokeo yake ni kwamba alifaulu kwenda secondary na kutokana na misingi hiyo huko nako ni mzuri sana kwenye hesabu,physics na biology kiasi sasa amekuwa na jeuri ya kuniambia kuwa yeye ndiye atakayekuwa daktari[ wa tiba ] wa kwanza katika familia. Ninawashukuru sana walimu kwa kujitolea kwao.
 
Back
Top Bottom