Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I&M bank ya kenya na michael shirima wa precion airways wamenunua CF union bank.
hawa I&M bank ni wazuri kwenye mikopo ya nyumba mortgage.
kila la kheri shirima
I&M moves into Tanzania for a regional footprintMaiko shirima (wa tanzania)..precision airways (ya wa-kenya na maiko shirima)...I&M bank (ya wa-kenya)...CF Union bank (ya wa-nani?)...mnhhh..let me connect some few dots n i'll be back
I&M bank ya kenya na michael shirima wa precion airways wamenunua CF union bank.
hawa I&M bank ni wazuri kwenye mikopo ya nyumba mortgage.
kila la kheri shirima
Kama wataleta hii mikopo inaweza kuwa ukombozi kwenye ujenzi wa nyumba kwa watu wa kipato cha kawaida. Ni bank gani nyingine zinazotoa mortgage kwa Tanzania?
Baada ya kupitishwa sheria Na. 16 na 17 ( Unit Titles Act na Mortgage Financing) 2008, Bank of Tanzania kwa kushirikiana na commercial banks with help of world bank wameunda Tanzania Mortgage Financing Company. Baadaye watauza shares za kampuni hii kwa financial insitutions ili imilikiwe na hawa. Wanategemea baada ya hapo TMFC itakuwa guarantor wa mikopo ya nyumba. Mabenk ambayo tayari yanatoa mikopo ni pamoja na Azania, CBA na ya tatu siikumbuki sasa hivi. Ukweli tumeanza kuelekea kwenye mortgage market.
Tatizo mwanzoni watu wengi hasa wapangaji wa National Housing walidhani sheria ile ni ya kuwataka National Housing wawauzie wapangaji zile nyumba zao, ambazo kama mnajua zimekaa mahali pazuri kila sehemu nchini. NHC wao wanafikiria badala ya kuziuza wavunje wajenge majumba makubwa (apartment blocks) halafu ndio sasa wawauziwe wananchi, maana yake ni hivi kule Upanga kwa mfano blocks nyingi zina flat 4 had 6, sasa watajenga kama 50 au zaidi kwenye kiwanja hicho hicho na watauza kwa bei nzuri na watakaofaidika ni watu zaidi.
Huyu Mjarislimali Shirima ananifurahisha sana. Maana Precision sasa hivi ina ndege za kutegemewa na inazidi kupanuka. Hakubweteka na biashara nzuri ya Precision, ila ameona heri awekeze mayai yake ndani ya zaidi ya kapu moja, kudos Michael
walikuwa wana recruit ceo na senior positions sijui wameshamaliza na hata address zao ni hq ya crdbCurrent Chairman wa TMFC ni Charles Kimei.
kama alivyosema njilimbera kwa kuongezea tuKama wataleta hii mikopo inaweza kuwa ukombozi kwenye ujenzi wa nyumba kwa watu wa kipato cha kawaida. Ni bank gani nyingine zinazotoa mortgage kwa Tanzania?
walikuwa wana recruit ceo na senior positions sijui wameshamaliza na hata address zao ni hq ya crdb
pamoja na watu kumchukia kimei bado namuona ni mtu aliyeitoa crdb chini na kuifikisha hapo ilipo, ni mchapa kazi sana na uwezi ukamfananisha na ma ceo wengine waTZ walioua makampuni.
katika makampuni makubwa TBL, NMB, Twiga cement, Crdb, voda, tigo ,zain ceo mtz ni mmoja tu ni yeye na reputation yake iko juu
The man is really a success story, ila jinsi precission inavyotanuka kwa kasi ya ajabu kwa kununua ndege mpya kila mwezi, mind well ni kununua, na sio kukodisha!, volume ya bussiness ya ndege anayoifanya haiwezi kuhumili uwekezaji mkubwa hivyo. Kwa maneno mengine kuna mahali amepata mkopo mkubwa, na sio kutoka IFC wala Proparco, maana hawa wako trasparent wangesema.huyu shirima pia ana hisa nyingi Akiba Commercial Bank
Akiba Commercial Bank imenunuliwa pia na Kenyan bank ila main shareholder alikuwa Ernest Massawe ila kuna uwezekano naye kuwa among the shareholdersThe man is really a success story, ila jinsi precission inavyotanuka kwa kasi ya ajabu kwa kununua ndege mpya kila mwezi, mind well ni kununua, na sio kukodisha!, volume ya bussiness ya ndege anayoifanya haiwezi kuhumili uwekezaji mkubwa hivyo. Kwa maneno mengine kuna mahali amepata mkopo mkubwa, na sio kutoka IFC wala Proparco, maana hawa wako trasparent wangesema.
Sasa kama PAA ndio hiyo inazidi kupaa kwa kasi hiyo, na huku mmiliki ndio huyo anazidi kufanya divesification, that means something more. Kuna uwezekano mkubwa japo front line anaonekana Shirima, backbone yake wanaweza kuwemo kina Mramba type ambao watawekeza mafungu yao ya migao kwenye safe investiments, kuepuka yaliyomkuta mzee wa vijisent, kuvirundika vyote pamoja, vikatuna na hadi kuonekana.
ATC ilipokuwa inachechemea, Mramba akiwa Waziri, aliipigia chapuo kwa PAA, zikavuja ana mguu ndani ya PAA.
Kwa kweli lazima tukubali, mafanikio yoyote ya wafanyabiashara wazawa, ni mafanikio ya taifa kwa ujumla, bila kujali mtaji kaupate, ni fedha safi au laa, au anafanya biashara halali au fisadi, at the end of the day, faida ataivest hapa hapa nyumbani kwa watoto wao na watoto wa watoto wao, hivyo nchi inaneemeka, japo pia gap ya wenye nacho na wasio nacho inazidi kuongezeka.
Mkuu unapendeza sana na hizi positive thinking zakoMaiko shirima (wa tanzania)..precision airways (ya wa-kenya na maiko shirima)...I&M bank (ya wa-kenya)...CF Union bank (ya wa-nani?)...mnhhh..let me connect some few dots n i'll be back