Mibaba ya jf ina tabia mbaya

Yaani NE kila kukicha una jambo ?
Palipo na mkusanyika wa wanawake na wanaume tegemea vitu kama hivyo kuwepo.
Na ndio Maana MODS waliamua kuweka PM .
Bila shaka walifikiri sana.
Pole Akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Halafu member wengi wanatumia majina na sura bandia , inakuwaje mtu awe interested na wewe wakati hata sura hakufahamu, umbea tu,hakuna mtu anayekutaka,unajishebedua tu.
 
wanawake bwana msipotongozwa mnalalamika smtms mnakwenda mpk kwa waganga ili kusafisha nyota,leo hii unajishaua eti kuna mtu ame ku pm kwa kukutongoza
 
Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya.

Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.

Kwani watu wakitaka kutongozana kuna sehemu maalum ya kukutana, nijuavyo hamna sehemu maalum hivyo ni popote hata chooni ndipo penye nafasi mtatongozana then mtapeana date ya lunch au dinner. sas huko kama mkikubaliana sawa ukikataa sawa.
hivyo usikasirike kwa hao waliokutongoza kwenye PM , kuna walioona humu humu JF kwa kuanzia ku-PM
 
Yaani NE kila kukicha una jambo ?
Palipo na mkusanyika wa wanawake na wanaume tegemea vitu kama hivyo kuwepo.
Na ndio Maana MODS waliamua kuweka PM .
Bila shaka walifikiri sana.
Pole Akili ni nywele kila mtu ana zake

Hongera FIRSTLADY, umemwambia ukweli maana siku zote popote kwenye -Ve na +Ve lazima huvutana kwa matamanio, sasa yatakayo futa ni makubaliano si lazima ukubari
 
Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya.

Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.

Ukiwaweka wazi na mimi nakuweka wazi tulivyochakachuana.
Naomba uwaweke wazi na wale wote uliowakubalia hapo mwanzo.........Haiwezekani hadi umri huu usiwe umechakachuliwa..........UZURI WAKO NOT ENOUGH NDIO UMEKUPONZA JAMANI.....I LUV U DEAR HEART LOTION
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom