Mibaba ya jf ina tabia mbaya

Ngoja niongee na maxence akuchomolee hicho kidude cha PM usiwe nacho tena.
Na nyie mibaba mwenzenu hataki jamani! Lol!
 
Heee!
Allien ulivyoifurumua hiyo misredi yake.
Ha ha ha!
Kuna watu waongo jamani, halafu wepesi kusahau.
Good job allien.
 
Ngoja niongee na maxence akuchomolee hicho kidude cha PM usiwe nacho tena.
Na nyie mibaba mwenzenu hataki jamani! Lol!

Hataki au anataka huyo?

Haipiti siku bila ngono. Hiyo ni mwenyewe anadai. I remember enzi zetu za chuo tulikuwa tunawaita watu wa namna hii HAILALI.

Sasa inakuwaje mambo yanakuwa tofauti?
 
Heee!
Allien ulivyoifurumua hiyo misredi yake.
Ha ha ha!
Kuna watu waongo jamani, halafu wepesi kusahau.
Good job allien.

Respect Mkuu.

Na hizo ni thread zake tu, lakini ukija kwenye post zake utakaa chini. Na akibisha tutazimwaga hapa . . . .

No stone will be left unturned.
 
Mkuu; ngoja tumwelimishe kwanza. Of course asipobadilika, sheria ziko wazi na Segerea si mbali. Mods wapo.

Ataanza na ID mpya.

Respect.

Pia Gongo la Mboto nyumba ziko emtpy. Anawekwa house arrest kule.

Angalia threads alizofumgua tokea ajiunge:

1. Wababa muwe mnajali wake zenu
2. Mibaba ya jf ina tabia mbaya
3. Nyumbani hautoi dozi ya kuridhisha na bado
4. The meaning of the word "****"
5. Sikumwona mr siku ya valentine day
6. Namzimia mume wa jirani
7. Wanawake ndo tunasababisha waume zetu kutoka nje.
8. Style ninayo ipenda
9. Natafuta mpenzi wa kunioa
10 Siwezi pitisha siku bila mwanaume
11. Habari

Thread yake kwanza alikaribshwa na akaambiwa na wadau karibu lakini afuate sheria na taratibu za JF. More https://www.jamiiforums.com/utambulisho-member-intro-forum/94042-habari.html#post1351463
 
Nime wa PM lakini wapi, then hata lugha ya ku appfroach hawana.

Kutongozwa ndio uwanamuke...ukikakaa wiki hujatongozwa unaweza kuwa mwehu...utaenda maduka yote ya urembo,...hata sisi watu wazima tulioooa mara nyingine hatutongozi tukimaanisha bali tunafanyia mazoezi sanaa yetu ya kutongoza ili isije potea ........ndio maana hata kama hatumaanishi tunatongoza [tena unaomba mungu ukataliwe kwa kuwa you are not serious]....sometimes bahati mbaya wasichana wa siku hizi walivyo hata kama u didnt mean it ...ume bip tu ...unapigiwa tena TOLL FREE!!!
 
Not Enough mama, si ndio wewe uliyesema hakuna ustaarabu kwenye ngono? Mbona unalalamika tena mpenzi? Si ndio wewe uliyekuwa unamtamani mume wa mtu? Kwa nini sasa unawaona wabaya. Mi navyojua palipo na mzoga ndipo wanapokutanika tai.

Pole lakini nadhani wewe mwenyewe ndo chanzo cha matatizo yako!!

He he he he he Nimeipenda hiyo LD na nimekugongea THANKS.

Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya.

Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.

Kuwa mtu mzima wewe??Au bado mtoto basi hii sio sehemu yako........Ukishaweka hadharani ndio iweje sasa.......watu wengine bana!!
 
Mkuu JP, siyo hiyo tu. Angalia na hizi:

1. Natafuta Mpenzi wa Kunioa: https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/94722-natafuta-mpenzi-wa-kunioa.html
Sasa matangazo katoa yeye; then prospects wanaapply yeye analalamia. then:

2. Sikumwona Mr. siku ya Valentine: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/110958-sikumwona-mr-siku-ya-valentine-day.html
Cant believe anaye Mr. lakini bado anatafuta Mume wa Kumuoa na bado anatamani mume wa Mtu. Kisha hii ndo funga kazi:

3. Siwezi pitisha siku bila Mwanamume: https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/94073-siwezi-pitisha-siku-bila-mwanaume.html
Hivi nani wa kulaumiwa?

Maji hufuata mkondo.

Respect.

Mkuu sasa hapo plus unganisha hii thread ndio uone kwamba biashara matangazo........Huyu hamna kitu hapa!!!
 
One page Mkuu.

Hebu mfano angalia huyu NOT ENOUGH anavyowachezea watu in black and white, halafu fanya analysis yako mwenyewe:

Then:

And finally:

Aminia mkuu....Naona sasa anashindwa kutetea thread yake..........Anatufanya watoto na kuzungushana akili kama watoto
 
Kuna mijibaba ja humu JF ina tabia mbaya kama nini, inapenda ku PM kwa lengo la ku approach. Acheni tabia mbaya.

Naombeni muache lasivyo nitaweka ID zenu hadharani.

Dada wa zamani sana huyu sijui katokea wapi,
Haya umesema umeona unachoambiwa??????, Teh kama unaona vipi uwe unazipotezea sio lazima kujibu wewe unajua kwanini upo hapa kwenye forum,

Wapo wanaotafta wachumba,
wapo wanaotafta mademu ku kula nao GT
Kuna wasaka hela,
kuna watu wa kila aina humu ni wewe na akili yako tu!

Funguka popo wewe, PooooPooooooooooo!
 
Mkuu sasa hapo plus unganisha hii thread ndio uone kwamba biashara matangazo........Huyu hamna kitu hapa!!!

Hajui anachokitaka maishan. Nahisi anaanzisha mada ili again popularity Busted:A S 112:
 
Mkuu JP, siyo hiyo tu. Angalia na hizi:

1. Natafuta Mpenzi wa Kunioa: https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/94722-natafuta-mpenzi-wa-kunioa.html
Sasa matangazo katoa yeye; then prospects wanaapply yeye analalamia. then:

2. Sikumwona Mr. siku ya Valentine: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/110958-sikumwona-mr-siku-ya-valentine-day.html
Cant believe anaye Mr. lakini bado anatafuta Mume wa Kumuoa na bado anatamani mume wa Mtu. Kisha hii ndo funga kazi:

3. Siwezi pitisha siku bila Mwanamume: https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/94073-siwezi-pitisha-siku-bila-mwanaume.html
Hivi nani wa kulaumiwa?

Maji hufuata mkondo.

Respect.

sasa nimeelewa. Kumbe ishu ni kujianika na kutamanisha midume? Au keshapata na sasa hataki usumbufu tena? Now i believe huko kwenye pm kuna mambo mengi sana yanaendelea
 
Hivi neno mibaba ndo maanake nn? wakubwa, wabaya au, nashindwa elewa fafanua nitoe advice/maoni. Its until then I'm keeping my fingers away from keyboard. SORRY!
 
Mpwa, una ugonjwa wa ku-generalize mambo, au hata mimi nimeshaku-PM? halafu sometimes haya majina yetu haya, langu ni halisi lakini lako la "NOT ENOUGH" unawapa wazo kuwa bado haitoshelezi..unahitaji bado! just a simple observation but not conclusion
 
Back
Top Bottom