Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Acha kudanganya watu bana tena wewe inaelekea unamadoa mwili mzima.
hahahahaaaa kama ya shwain hapo kushoto,du! sawa bana.
By the way kina baba kwa nini mnakasirika hivyo? kwani uongo? hebu niambie mstari mmoja hapo ambao wanaume hatufanyi?
 
Mkuu sikilizia malalamiko ya kina mama walio wengi wenye ndoa zao,malalamiko yao ni haya haya pamoja na mengi ambayo sijayataja. Hapa nazungumzia uhalisia wa maisha yetu ya kila siku na kile kinachozungumziwa na kina mama wengi.
Kina baba tusiwe defensive,we are not all that perfect hata tulelewe vipi we shall still be humanbeings with all human frailties.

Ni kweli Mkuu, hata mimi nakuunga mkono kwamba hayo yanatokea katika baadhi ya familia. Kwa jinsi ulivyoandika inaonekana kuwa ni wanaume wote wana tabia hizo. Rejea kicha cha habari.....Mianaume ndivyo tulivyo..........Kwa jinsi ulivyoandika, inawavunja moyo hata wale ambao hawana hizo tabia. Aidha, tubaliane kwamba wanaume kama binadamu wamezaliwa na kulelewa katika mazingira na hali toufuti tofauti, na kwa kawaida binadamu anabadilishwa na aina ya malezi na mazingira aliyokulia kwa maana hiyo hawawezi kufanana wote. .....Kama ungesema baadhi ya wanaume, ningeunga mkono hoja 100%........
 
thanks Bishanga Hii kichwa ili itulie leo lazima nitafute fire brigade la sivyo vifaa vya mwili vinaweza vikaachana.
nenda touch spa masaki ukapigwe masaji ya nguvu na wachina ,utajisikia safi kabisa.
 
yaani umenena haswaaaaaaaaaaaa
jamani wanaume mjirekebishe, tengeneza nyumbani kwanza ndo ukalete ufahari nje
 
Shikamoo Bishanga!
Najisikia raha kusoma sred yako!
Namwomba mungu tanesco wasiukate ili nione mwisho wa hii vita!
Hapa hata wakizuga,msg sent and delivered!
au vipi? wamezidi kukuoneeni hawa. umeona walivyofura ka chatu la amazon?
halafu wanadai ho hizo ndo za Bishanga sisi watakatifu,subutu yao!
 
naogopa Kusinzia Bishanga natafuta the best solution ambayo itashtua mishipa ya kichwa ifanye kazi vizuri..............

nenda touch spa masaki ukapigwe masaji ya nguvu na wachina ,utajisikia safi kabisa.
 
Hahahaaa yaani natamani ningetengeneza bango kabisa halafu nilibandike sehemu kila mwanaume anaepita alisome. Kwa kuongezea
16. Unarudi nyumbani saa tisa usiku halafu hutaki kufunguliwa gate na mtu yoyote zaidi ya mkeo na kwa masharti kuwa ukishaingiza gari ndani mkeo afunge gate na hakuna kuingia ndani mpaka wewe ushuke kwa gari muingie wote. Wakati huo unakua ndani ya gari unamalizia kuongea na simu(ambayo kwa vyovyote vile itakua unamwambia hawara nimefika salama).
Kuna watu mnaweza kudhani hii ni utani lakini hii ilinikuta mwenyewe wala sijasimuliwa mie.
 
au vipi? wamezidi kukuoneeni hawa. umeona walivyofura ka chatu la amazon?
halafu wanadai ho hizo ndo za Bishanga sisi watakatifu,subutu yao!
Yani nataman baba yangu mtambuzi asome huu uwi nione atasemaje maana yy kakomaa na sie tu!
Yani leo sibaduki hapa kwa hii faraja ninaipata ya kusoma koment za hawa jamaa!
Asante sana bishanga na sie leo tupumzike lol!
Mbona raha leo!
 
hapo kwenye na 8 mtoto akiumwa anaita mama kayai angalia mwanao anaumwa kidogo anadeka lakini akiumwa yeye balaa nyumba haikaliki mtakimbiza ndani hapo hapatoshi
Bishanga asante kwa thread........wasomaji mapovu yanawatoka
 
Back
Top Bottom