Mianamke mingine bwana!!

Buji nawe una kosa la kujibu kaka baada ya kuachana na mpenzio wa zamani kilichokufanya umpe habari za mpenzio wa sasa ni nini? Kama hakuwa anajua jina lake kamili na picha sidhani kama angewezamuadd kama rafiki kwenye facebook........... hebu dadavua kidogo hapa... au walikuwa wanajuana tangu mwanzoni?
 
facebook kuna vituko vingi sana. Kuna demu tuliachana miaka mitano iliyopita, lakini baada ya kuolewa ikabidi aniombe tuwe marafiki kwenye facebook. Cha ajabu nikagudua kuwa alitaka kunirusha na picha za harusi yake na jamaa yake. Baada ya kuona mabandiko yake hayo ilibidi nibandike mjengo wangu ninaosimamisha maeneo ikabidi aziondoe picha zake.
wanawake wana visa vingi sana, ila kwa mwanamme inabidi uonyeshe ni jinsi gani unasimamia maslahi yako na kujali maendeleo zaidi. Mimi katika hilo nimemuweza kicheche wangu huyo wa kudhani nitajuta kumkosa.
Sasa hivi ameanza ku-admire vitu vyangu.

huyo dem wako kachanganyikiwa, nadhani alifikiri hutapata kifaa kingine
 
Last year niliachana na mwanamke wangu wa zamani.
Baada ya kimya kirefu nikapata kitu kipya ambacho tuna mipango ya kufunga ndoa na kujenga familia imara.
Mwanamke niliyeachana naye mwaka jana, amemuadd kama rafiki huyu mchumba wangu, na amebandika kwenye ukuta wake picha ambayo tulipiga wote kipindi cha mapenzi yetu.
Kibaya zaidi ni kwamba mchumba wangu kaiona hiyo picha mchana huu na kisha nitumia msg ya kiukorofi.
Sijui jioni nkirudi home hali itakuwaje?

aaaarrrgghhh, wasikupe presha zao bana, kama ame mind picha ya 'rafiki yake' mwambie am delete/block au naye aweke na kumuonyesha picha yenu ili 'Urafiki' wao uzidi kumea.
Usiyumbishwe bana.
 
hata mie galffriend wa ex wangu,roho yangu inaniwashaga sana nimuadd...basi tu nimuangalie kila siku nione nini kanishinda....
 
Alikosea sana my x,
si akaanza kupost matusi kwenye ukuta wa my darling.
Kwa hiyo sikuwa na kazi zaidi y a kumwambia my darling ampuuzie huyo mtukanaji.
 
Muwe mnatoa background zenu bila kuficha ili watarajiwa wawe na nafasi nzuri ya kuamua; inaonekana ulimficha huyo mchumba wako!
 
Mambo ya Facebook nini hayo?? Maana kule nako kuna visa kibao usipimie. Tayarisha maneno matamu matamu ya kumpooza bi mkubwa


mi ndo maana sipo huko presha nyingine hiiz.......hujambo lakini?:humble:
 
BHT ..
we acha tu... mi napenda kuhakikisha cha zamani sikitupi jalalani! Nakihifadhi vizuuuri stoo. Kipya kikikorofisha.. basi najua kuna fall back!

Huyu kaona kimwana kipya..hajajua vimbwanga vyake bado!
haya sasa mdo maneno cha zamani kinawekwa stooo siku kikipata kazi kinatumika LOL!
 
BHtttttttttttttttttttt yaani umeniacha hoi hapo pa mboga na sima....mwe wacha nikapate lunch!!!
 
Huna haja ya kujieleza sana, unless ulimdanganya huyo mpya kwamba hukuwa kuwa na huyo.

Mambo ya kizamani unafika kwenye nyumba ya mtu unalazimisha eti picha zichanwe, mpaka kuwa na huyu mpya nikwamba huna tena mpango na yule wa zamani. I am a woman, nimejifunza kitu kizuri sana kusikiliza na kuelewa feelings za mwenzako.

Kwa akili ya haraka, huyo lazima ajue kwamba kuna kinyang'anyiro kati yake na wa zamani amkimbie vinginevyo ataumia roho kwa sababu mwenzie ana mpango wa kumuumiza. akikuuletea gozi gozi lete habari tumrudishe kitchen party , wanaume wenyewe wachache hivi watu wanapigania yeye anataka kuhoji.


 
BHtttttttttttttttttttt yaani umeniacha hoi hapo pa mboga na sima....mwe wacha nikapate lunch!!!

Shirooo hv upo??? au ndo njeve imezidi??? mmh nimesahau mwenzetu hata njeve haikupati na uko na blanketi chapa mtu lol!!!!
 
Ulitokana wapi na mwehu?
Huyu wa sasa ushampima akili akajua siyo juha? Nakutania ..ila ulivyomponda yule wa zamani siyo ustaarabu hata kidogo!
Ukipata chungu kipya usidharau cha zamani...

TAUSI MZALENDO Acha mvungu yazamani mengine yalikuwa yanavujisha ndani moshi haushi!!!Sasa ukipata kipya bado uone nachazamani kilikuwa kinakufaa wakati wewekilasiku nimoshi kamasi na wewe ahgh!!

Sasa BUJIBUJI J e wasasa kama ujamwambia imekula kwako maana inabidi upange verse za ukweli!Umwambie ananishobokea anataka kutuaribie na kama ka add as friend mwambie haraka amreject upesi that is it!!Pole najua sheshe lake ni tia mguu nitie chuma!!hapatoshi hapo lazima pachimbike nakama mwanamke situmai ndala ndefuu??!!Kazi unayo ila fanya hivyo mwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom