Miaka takribani 50 ya Uhuru Tanzania: Ni yapi ya kujivunia?

Dawa yake ni Zitto kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa gharama yoyote, hata kama upinzani ukidhoofika na ufisadi kustawi.

Bila hivyo nchi yetu itabaki maskini sana!
 
Kwakuwa baba mkwe wake ni Rais wa JMT, anayo nafasi ya kumshauri haya... si dhambi kwa yeye kumuomba amteue kuwa mbunge kasha waziri mkuu ili aweze kuyatekeleza haya ya msingi...
 
Aingie CCM na apewe nafasi ya UENYEKITI, na ugombea urais kwa tiketi ya CCM kwa kuwa kiukweli UPINZANI BADO HAUJAJIPANGA KUPEWA DHAMANA YA KUONGOZA NCHI.
 
Hata mchawi pia anakuwa na sura nzuri, mpaka akuroge ndo utamchukia, mnafiki mkubwa huyo Zitto
 
Uwezo wa Mh. ZZK wa kupambanua masuala yanayo gusa Watanzania niwa kipekee kabisa na hakuna shaka kuwa ni kipaji alicho zawadiwa na kubarikiwa na Mwenyezi Mungu! Go ZZK Go ZZK watanzania tunaendelea kutambua weledi wako.
 
Wana jamvi habari zenu;ndugu zangu katika kujitathmini miaka 52 ya uhuru bado malengo ya uhuru hayajatimia kabisa.

Mwaka 1958 Nyerere alisema "Hatumwondoi mkoloni kwakuwa tunapenda sana kutawala ila ni kwasababu mkoloni ameshindwa kuwaletea maendeleo watanganyika na kushindwa kuwaondolea; umaskini, maradhi na ujinga hii inatokana na ubaguzi wawakoloni dhidi ya weusi"

Je, matatizo hayo ambayo ndio yalikua malengo maksusi ya kudai uhuru yameondoka?

Shule tanzania zipo za makundi 2 za walala hai na walala hoi,hospital za walala hai na walala hoi na azira za walala hoi na walala hai; wamezalisha tatizo jengine jipya ni ufisadi nao umeshamiri kila mahala katika taifa; hivyo ndugu zangu kwakua CCM ndio tuliwapa jukumu la kutimiza malengo ya uhuru wameshindwa mimi naona haitakua dhambi tukiwang'oa kuanzia chaguzi za mitaa na mwakani mkuu tutakua tumeliponya taifa.

Najua hata wale CCM watakuja furahia matunda ya uhuru baada ya wao kung'oka japo kwa sasa hawapendi kung'oka
 
Back
Top Bottom