Miaka Miwili Ya Kikwete.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,567
Taasisi ya Policy Forum imeandaa mjadala wa wazi kuzungumzia utendaji wa serikali ya Kikwete kwa kipindi cha 2006-2007.
Mtoa mada mkuu ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Prof. Haji Semboja.
Bado sijaelewa kwa nini haswa mjadala huu umejikita kwenye miaka miwili ya mwanzo wakati JK kesha kata minne anakwenda wa tano?!.
Endelea nami...
 
Attachments

  • brian presentation..ppt
    308 KB · Views: 66
  • Semboja Haji Corporate Governance In Tanzania October.ppt
    103 KB · Views: 607
Taasisi ya Policy Forum imeandaa mjadala wa wazi kuzungumzia utendaji wa serikali ya Kikwete kwa kipindi cha 2006-2007.
Mtoa mada mkuu ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Prof. Haji Semboja.
Bado sijaelewa kwa nini haswa mjadala huu umejikita kwenye miaka miwili ya mwanzo wakati JK kesha kata minne anakwenda wa tano?!.
Endelea nami...

Those were the lightest years to him, na huko alikuwa na excuses nyingi, na ndo maana ukimwongelea kwa maeneo hayo ataonenekana
ni mjanja!
 
Presentatio ya kwanza ni ya mzungu anaitwa Brian Cooks. Jamaa amepiga nyundo za kufa mtu, amebonda sana with data. Ingekuwa ni enzi za Mwalimu, jamaa alipomaliza tuu ni from the podium to Ukonga Maximum prison under the certificate of Preventive Detaintion Order!.
 
Who is this mzungu by the way?
Yuko Taasisi gani?

Tunashukuru sana kwa updates, mzee wa nyeti live!
 
Presentatio ya kwanza ni ya mzungu anaitwa Brian Cooks. Jamaa amepiga nyundo za kufa mtu, amebonda sana with data. Ingekuwa ni enzi za Mwalimu, jamaa alipomaliza tuu ni from the podium to Ukonga Maximum prison under the certificate of Preventive Detaintion Order!.

Huyu sio yule jamaa aliyeanika IPTL issue/scandal enzi zile?

Omarilyas
 
Presentatio ya kwanza ni ya mzungu anaitwa Brian Cooks. Jamaa amepiga nyundo za kufa mtu, amebonda sana with data. Ingekuwa ni enzi za Mwalimu, jamaa alipomaliza tuu ni from the podium to Ukonga Maximum prison under the certificate of Preventive Detaintion Order!.

Hebu weka kwa kifupi aliyosema.
 
Prof. Semboja amepiga nyundo moja tuu kuhusu uamuzi wa serikali kupigia magoti IPTL badala ya kuikumbata Dowans sio economical viable unless its only to save the day before falling into the bottomless pit!.
 
Huyu mzungu ni private consultant.... ana marungu kinoma... and he knows this country and the politics and the persons behind the scene... those deciding fate of all the Tanzanians...nafikiri mpaka leo ana kesi akishtakiwa ku-expose uozo fulani lakini kwa kisingizio cha defamation charges.... any way tupe nondo....
 
Haji si rafiki wa wakubwa... na ni mshauri wa uchumi wa serikali yetu unategemea atabonda amwage msosi wa watoto wake??
 
Huku ni kutafuta kulipwa posho mara mbili maana waheshimiwa toka Bungeni nao wazima watakuwepo kwenye hiyo semina/kongamano-wizi mtupu
 
We all face the same danger! Hawa wazungu wa kuwakimbilia kila kona ya dunia hawana majibu ya matatizo yetu kama wenyewe hatujaamua kuyashughulikia kuona yanakwisha. Naona huyo jamaa aje tu kumwaga data.Dunia kigeugeu
 
Presentatio ya kwanza ni ya mzungu anaitwa Brian Cooks. Jamaa amepiga nyundo za kufa mtu, amebonda sana with data. Ingekuwa ni enzi za Mwalimu, jamaa alipomaliza tuu ni from the podium to Ukonga Maximum prison under the certificate of Preventive Detaintion Order!.
Hapana mkuu Nyerere alikuwa mtoto wa mjini watu kama hao huwamaliza kwa maswali yake mwenyewe!
Kifupi hakuna mtaalam wala mwandishi hata mmoja toka nchiu za nje aliyeweza kumtoa jasho mwalimu.
 
Na kwanini inafanyikia huko? what is the interest. Haya mambo yakuona mzungu ndio anaweza chambua chuya na mchele ndio tunaishia kutojiamini na kua omba omba.
 
Profesa Semboja ni mtanzania mzawa

Huyu Semboja hana uzawa wowote kazi yake kujikomba kwa Jakaya; mara utasikia yuko na mama Salma Rufiji yote hiyo kujipendekeza!! Brian huyo mzungu anaijua Tanzania kama tebo ya mbili, ni private consultant lakini hapo nyuma aliwahi kufundisha UDSM.
 
Jamaa kashuka na hizi data kuwa asilimia 80% ya Watanzania wanategemea kilimo, na kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, masuala ya kilimo yamepewa kipaumbele kwenye MKUKUTA, MKURABITA, MKUMBITA na kusapotiwa na ASRP je serikali imewasaidiaje wakulima, haya ndio matokeo ya utafiti kwa wakulima
FARMERS’ SERVICE SATISFACTION
When asked what benefits they receive from the government, 82% of the poorest farmers replied ‘nothing’, as did 76% of the middle group and 66% of the least poor. Seventy-six percent of livestock keepers gave this answer, as did 80% of fishers.
– 86% of farmers had never used chemical fertiliser,
– 72% had never used agro-chemicals,
– 77% had never used improved seed varieties.
Baada ya hayo yoyote sasa umeletwa wimbo wa kilimo kwanza!.
 
Back
Top Bottom