Miaka Mitano Ndani ya JF

Nikupongeze kwa kutoka mbali kote huko kwani safari ni ndefu na imehitaji uvumilivu na busara ktk mijadala ya humu jamvini
 
Dah, kweli tumetoka mbali.
Toka enzi zile Jei Efu inajulikana kama Jambo Forums..
Enzi zile tukitumia salutation ya "Mkuu heshima mbele" kabla ya kuchangia mada...

Enzi zile BAK anajiita Bubu Ataka Kusema..
Enzi zile Saint Ivuga anajiita Nyani Abiziani..

Kudos to Invisible, Max Melo, MM, pamoja na washika dau wote waliofanikisha Jei Efu kufikia hapa ilipo..
 
Hongera sana mkuu, ukigonga nyundo nyengine 4 tunaandamana upewe umod.
Asante sana Mkuu!
Tena tunaenda na orodha yetu ya "Dhamana" (sio vyeo):
- MOD Mkuu wa Kitengo na msaiidizi wake
- Mwenyekiti na Makamo wake
- Mdhamini na Msaidizi wake wa Mambo ya Udaku
- Mshika fweza na Mlinda Vijisenti
- Wazee 10 watakaoingia kwa Umri wao JF
- Vijana 10 " " " "
Dhamana nyengine kuundwa kwa mujibu wa mahitaji
........................
........................
........................

Chagua zawadi
Asante sana. Unaonaje badala ya kuchagua zawadi nikachagua ombi?
Ombi langu kwa MOD wa MaMOD wakuteue wewe kuwa MOD wa hapa.

Poa mtu mzima, tuombeane na sisi aisee!
Tukutane kule kwenye uwanja wetu nikupe zawadi moja matata!
Asante sana Mkuu! Mbona bado siku 46 tu kufikia huko?
Duh, asante nyengine. Huyo Zawadi Mtata atanifaa sana. Napenda changamoto.
Mkutano kuanzia saa 1 usiku. Vinywaji vimetayarishwa. Kiingilio kiu kali/Koo kavu.

Dah, kweli tumetoka mbali.
Toka enzi zile Jei Efu inajulikana kama Jambo Forums..
Enzi zile tukitumia salutation ya "Mkuu heshima mbele" kabla ya kuchangia mada...

Enzi zile BAK anajiita Bubu Ataka Kusema..
Enzi zile Saint Ivuga anajiita Nyani Abiziani..

Kudos to Invisible, Max Melo, MM, pamoja na washika dau wote waliofanikisha Jei Efu kufikia hapa ilipo..
Asante sana Mkuu!
Kweli tumetoka mbali sana. Na tushukuru mabadiliko yote yaliyofanyika ni ya kujenga na kuimarisha JF.
Ninahesabu siku 45 nikukute umejiunga 2008 Members' Club.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom