Miaka mingi bila kupata mtoto: Dada ajutia dhambi alomtendea mpenziwe wa awali!

Mkuu hiyo nimeiona ila sasa ile kusema wako sawa na yeye hapo ndio nikaona utata mkuu
Au nimeachwa sehemu ndo maana sielewi

Si umeona anasema ata yeye hawaamini mademu zake! hapo unaelewaje anapposema mademu ake? inaonyesha jamaa anao wengi, na hizi zama za ukimwi, mademu wengi si inakuwa noma. Angesema wake zake walau tungejua issue ya uzinzi ahaipo hapo
 
'' usiseme unamwamini mwanamke hata kama unamtania,
watu na heshima zao washajikweza na wakalia,

watoroshwa na wazungu,wanamegwa na vibabu,wanaiba waume za wenzao uso mkavu hawana aibu...............'' ....(c)..Mwana F.a
 
na stres pia inachangia.......lakini imejionyesha wazi kuwa kakanyaga mavi. maana jamaa keshazaa (I mean zalisha) nje!

Pole Edson, naamini mungu alishayaponya majeraha yako!

Inawezekana pia huyo bibiye hana matatizo ila jamaa yake ndiye mwenye matatizo na kasingiziwa mtoto tu huko nje - yaani kazaa hewa nje ya ndoa lakini anaaminishwa tu kuwa ni kitu "jiniani".
 
huyu binti ajiulize zile mimba alizokuwa anatoa alidhani ni mahindi??
dharau zake zimemponza.
 
amtafute amuombe msamaha kama ni waziri itakuwa rahisi kupata namba yake. maneno yatamkwayo ni yana nguvu sana na kama alilia juu na kuongea na Mungu naamini huyo dada inabidi amuombe msamaha amsamehe.

Ataona mambo, ila pia ajiulize kama alikuwa mcheza nje sana na labda ametoaga mimba before labda kajiaribu.
 
I believe in this below quotes

Malipo hapa hapa duniani, ahera kwenda hisabu
Mungu analipa hapa duniani but his own time.

Huyo mdada muongo na mdanganyifu asingemfaa Mnyarwanda.Kwa macho ya imani, nitasema Mungu alitaka kumuepusha Mnyarwanda na maswahiba mengine ya kudanganywa na huyo mdada. Pia kwa vile mdada ana tabia mbaya, anaadhibiwa hapa hapa duniani.Huyo mume naye kwa vile alijua uongo uliokuwa unaendelea, na kwa vile aliridhia na hata kula njama kumchuna Mnyarwanda, anapata adhabu ya kujikuta akitembea nje kusaka watoto na huenda akaishia pabaya pia kwa kudanganyiwa watoto huko nje.Akija kuligundua ataumia na yeye vilevile.
 
Back
Top Bottom