Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,653 13,472 Sep 23, 2012 #4 Chimunguru said: Hapo patakuwa Ubungo 5050yr Click to expand... mmmh!dunia itakuwa haija isha tu!
M Mzee wa fund JF-Expert Member Oct 24, 2010 514 89 Sep 23, 2012 #5 Dunia haitoisha ila viumbe vyaja na kupita.
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,299 33,082 Sep 24, 2012 #6 Tulizo said: Mwaka 3012 Hapa patakuwa Yombo dovya View attachment 65870 Click to expand... Sidhani kama itakuwa hivyo huko Yombo Dovya labda mpaka Rais awe ni Kipanya mkuu Tulizo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Tulizo said: Mwaka 3012 Hapa patakuwa Yombo dovya View attachment 65870 Click to expand... Sidhani kama itakuwa hivyo huko Yombo Dovya labda mpaka Rais awe ni Kipanya mkuu Tulizo
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Sep 24, 2012 #7 labda kama tanzania itakuwa imeshauzwa kwa wazungu tayari.
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Sep 24, 2012 #8 Zamaulid said: mmmh!dunia itakuwa haija isha tu! Click to expand... Nashangaa...na hiyo ramani mpaka miaka hiyo itakuepo?
Zamaulid said: mmmh!dunia itakuwa haija isha tu! Click to expand... Nashangaa...na hiyo ramani mpaka miaka hiyo itakuepo?