Kelvin X
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,927
- 2,366
Ndugu zangu baada ya utafiti nilioufanya nimesikitika kwamba kuna tatizo la msingi kwenye system yetu ya afya; nimegundua dawa muhimu sana kwa wagonjwa wa akili specificaly wale wenye affective disorder (mania), wanaishia kuwa vichaa kabisa kutokana na kukoa dose ya Lithium carbonate ambayo ni very effective kwa huu ugonjwa....
Wenzetu Kenya na Uganda wanazo toka siku nyingi. Wizara tafathali jitahidini wagonjwa wetu waweze pata hii dawa hapa nchini kwa bei rahisi, mtoto wangu anaugua toka mwaka juzi na uwezo wakufuata dawa Nairobi kila mwezi sina.