Miaka hamsini ya "Uhuni" sera ya CCM

Kwa mtu makini inaelekea Somo mlilopewa na LG hapo juu hamjalielewa.
Tofautisha kati ya chama na serikali, na tofautisha kati ya CCM,TANU na ASP.
Great thinking is not a slogan but a statement to be proven by any JF member through his/her postings

Bila kufanya hivyo arguments zako zitakuwa zina zunguka mbuyu bila kufika a logical conclusion.
Mfano tu wa logic:serikali na chama ni vitu viwili tofauti kabisa, ni Kama kulinganisha mbwa na binadamu
wote wenye masikio mawili.

Pia mbwa akibong'oka anakuambia kasimama ila binadamu akisimama kasimama kweli
 
Pia mbwa akibong'oka anakuambia kasimama ila binadamu akisimama kasimama kweli
Kwa makusudi nimelinganisha mbwa na binadamu wote wenye masikio mawili!
Binadamu(Kama chama) anauwezo wa kufikiri, kupanga na kuuchagua kwa mikakati aliyojiwekea, wakatio mbwa( Kama serikali) yeye ni chombo cha utekelezaji, mipango na matarajio ya watu.
Mfano serikali akiambiwa:tafuna huyo mutu, anatekeleza bila ya kuliza hata sababu.
Serikali imekuwepo kwa miaka yote 50, na chama kinabadilika kulingana na wakati.
 
Back
Top Bottom