Miaka 50 ya uhuru:wagonjwa wodini

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Wakuu kauli mbiu ya miaka 50 ya uhuru. angalieni wagonjwa wapo wodini katika zahanati ya kisaki wilayani mbulu. Hivi mbunge wa jimbo hili ni nani? na ni wa chama gani? safari ya kuelekea maisha bora bado ni ndoto.
 
Attachments

  • WAGONJWA_ZAHANATI_KISAKI1_.jpg
    WAGONJWA_ZAHANATI_KISAKI1_.jpg
    31.5 KB · Views: 78
Wakuu kauli mbiu ya miaka 50 ya uhuru. angalieni wagonjwa wapo wodini katika zahanati ya kisaki wilayani mbulu. Hivi mbunge wa jimbo hili ni nani? na ni wa chama gani? safari ya kuelekea maisha bora bado ni ndoto.

Mbulu imekuwa na Mbunge Philip Marmo kwa miaka 25 kwa CCM na mwaka jana wambulu wameamua kumtema kwa aibu na kumchagua mchungaji Natse kwa CHADEMA.
 
Siyo Natse nahisi ni Mustapha Akonaay wa CDM kama sikosei!Natse ni wa karatu
 
Back
Top Bottom