Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania & Kilimanjaro larger!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Miaka 50 baada ya uhuru wa tanzania pamoja na harakati zinazofanywa na baadhi ya wazalendo bado wananchi zaidi ya %80 wakiendelea kuwa maskini huku wenye nchi wakizidi kujilimbikizia mali.serikali ipo tiyari kusherekea miaka 50 ya uhuru huku majengo ya shule yaliyojengwa kama alama ya shule yakiwa hayana walimu! Haingii akilini kutuonyesha tangazo ambalo ni kilevi hali kadhalika wananchi wengi wanakabiliwa na tatizo la njaa
 
Back
Top Bottom