Elections 2010 Miaka 50 Ya Uhuru wa TANGANYIKA,Tuwakumbuke Mashujaa wetu.

mtemiwaWandamba

JF-Expert Member
May 2, 2011
561
223
Kwanza kabisa Viongozi wa kijadi na kieneo walioongoza mapambano
dhidi ya Wakoloni;
Kinjeketile Ngwale, Watemi Chabruma, Songea, Mirambo,Isike ,Mkwawa, Kimweri
Mbega, Sina Meli Mandara, Abushiri Bin Salim,Kingo.Rumanyika Kingalu, Kiwanga...........

Pili Wanaharakati wa mapambano kupitia Vyama vya Siasa;
1)TAA: Abdulwahid Sykes,Jumbe Tambaza,Vedastus Kyaruzi, Mzee Mtemvu,Shekhe Ramia...........
2)TANU:Abdul Wahid sykes,Ally Sykes ,John Rupia ,Julius K Nyerere, Joseph Kimalando,
Abubakari Iranga, C O Milinga, Tewa S Tewa, Patrick Kunambi,Dosa Aziz Ally,Rashid M Kawawa,
Bibi Titi Mohamed,..............

Ongezea orodha unaowafahamu Makamanda waliokuwa msitari wa mbele
katika harakati za kudai Uhuru wa Tanganyika.......

Mapambano bado yanaendelea
 
Wazee waliodai uhuru wa TZ walivyo sasa
bora wangebaki chini ya mkoloni

CCM oyeeeeeeeee,anayesema CCM mbaya,mmbaya mwenyeweeeeeeeee

attachment.php
 

Attachments

  • kituo cha kulelea wazee-Morogoro.jpg
    kituo cha kulelea wazee-Morogoro.jpg
    11.4 KB · Views: 176
Back
Top Bottom