Miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika; Chadema wamefanya nini cha Maendeleo?

wameleta upinzani wa kweli thithiem inawaogopa. hapo kabla ya CDM thithiem ilikuwa haiogopi kitu. through cdm tanganyika inarudi.
 
Katika kuelekea kilele cha miaka 50 ya Uhuru, hebu tujiulize chama kikuu cha upinzani nchini Chadema kimefanya nini cha msingi kwa taifa la Tanzania ukiondoa maandamono ambayo yameshindwa kuleta ukombozi wa kweli kama maandamano yaliyofanyika Egypt na Tunisia. Viongozi wa Chadema katika miaka 50 ya Uhuru wamefanya nini cha Maendeleo kwa Taifa letu cha kukumbukwa na Watanganyika ? nini leo Chadema wanaweza kuwaeleza Wananchi wamefanya katika miaka 50 ya Uhuru? Kama wamefanikiwa kuwa chachu ya maendeleo tunawapongeza sana lakini kama hawajafanya kitu cha Maendeleo wanapaswa kulaumiwa na Watanganyika.
Unaposema fikiria kabla na sio kujiandikia tu. Chadema italetaje maendeleo kama sio chama tawala?, Chadema inakusanya kodi, chadema inasimamia madini. n.k
 
jiulize ni kwanini cuf na ccm ,tlp udp,wanawasakama chadema badala issue sinazo husu nchi? kwenye mswaada wa katiba uliopitishwa bungeni.
uhuru bado haujapatikana ni kama hoja ya kujivua gamba
 
Katika kuelekea kilele cha miaka 50 ya Uhuru, hebu tujiulize chama kikuu cha upinzani nchini Chadema kimefanya nini cha msingi kwa taifa la Tanzania ukiondoa maandamono ambayo yameshindwa kuleta ukombozi wa kweli kama maandamano yaliyofanyika Egypt na Tunisia. Viongozi wa Chadema katika miaka 50 ya Uhuru wamefanya nini cha Maendeleo kwa Taifa letu cha kukumbukwa na Watanganyika ? nini leo Chadema wanaweza kuwaeleza Wananchi wamefanya katika miaka 50 ya Uhuru? Kama wamefanikiwa kuwa chachu ya maendeleo tunawapongeza sana lakini kama hawajafanya kitu cha Maendeleo wanapaswa kulaumiwa na Watanganyika.
Maandamano yasiyo na tija na wamefanikiwa kufika Ikulu kupata kikombe cha chai na glasi ya juisi na mheshimiwa wanayemsusia hotuba zake kwa madai kwamba hakushinda Urais.
 
Wamepeleka ndugu zao bungeni na wanaishi kwa fedha za conservative ambazo hawazilipii kodi harafu wanasema serikali haiwahudumii wananchi. Hawajui kuwa kodi zao pia zinamchango kwa taifa.
 
Chadema inawezekana wamefanya mambo mengi ya bla bla lakini mi nikiwa kama mwananchi ninajivunia jinsi walivyowafanya wananchi wajitambue wao ni nani, na wanapaswa kufanya nini, na kwa nini wafanye hivyo lakini wananchi wenye akili kama ya huyu mleta thread ndo wanaotuangusha mpaka tunashindwa kufikia malengo ya kujikomboa kutoka kwenye mikono ya wadharimu wa kiafrika. OVER
 
Kitu pekee walichofanya ni kwa mara ya kwanza ktk historia wabunge kutoka nje wkt rais akitoa hotuba bungeni na pia kuligeuza bunge kuwa jukwaa la vijembe na mipasho na kushushuana na kupigana masingi!
 
Za kuunga unga hizi.....tia maji tia maji.
Tuna safari ndefu sana.
Kwa ufahamu wako hayo ndio maendeleo Watanganyika wanayoyataka kutoka CDM; kweli vyama vya siasa sio msingi wa maendeleo ya Taifa bali ni kambi ya majambazi ya CCM na CDM kupanga mbinu za wizi kwa rasilimali za Watanzania
 
Ukiwa kenge usihangaike kuficha mkia, ukenge wako haupo kwenye mkia.....by Bigirita.
Maandamano yasiyo na tija na wamefanikiwa kufika Ikulu kupata kikombe cha chai na glasi ya juisi na mheshimiwa wanayemsusia hotuba zake kwa madai kwamba hakushinda Urais.
 
Katika kuelekea kilele cha miaka 50 ya Uhuru, hebu tujiulize chama kikuu cha upinzani nchini Chadema kimefanya nini cha msingi kwa taifa la Tanzania ukiondoa maandamono ambayo yameshindwa kuleta ukombozi wa kweli kama maandamano yaliyofanyika Egypt na Tunisia. Viongozi wa Chadema katika miaka 50 ya Uhuru wamefanya nini cha Maendeleo kwa Taifa letu cha kukumbukwa na Watanganyika ? nini leo Chadema wanaweza kuwaeleza Wananchi wamefanya katika miaka 50 ya Uhuru? Kama wamefanikiwa kuwa chachu ya maendeleo tunawapongeza sana lakini kama hawajafanya kitu cha Maendeleo wanapaswa kulaumiwa na Watanganyika.

Ww ni mpuuz,CDM wamewahi kushika dola?do you knw th role of th government?unafaham wakusanya kodi?elimu ya shule ya kata inakusumbua
 
Chadema haijatimiza miaka hamsini,hakuna nchi hapa yenye miaka hamsini.CDM ina miaka 22 tu.
Kitu ambacho CHADEMA wamefanya ndani ya miaka 22 wameweza kufanya kitu kinaitwa Elimu ya Uraia.
 
Wamefunua uozo CCM na serikilini na sasa CCM wanavuana magamba! Wameshinikiza kuandikwa kwa katiba mpya na sasa tuko kwenye mchakato japo CCM wanaonekana kufanya hila lakini mchakato upo. Kubwa zaidi wamewapa wananchi ujasiri wa kupambana na uongozi dhalimu. Maendeleo ya nchi yataletwa na wananchi wenyewe na ili iwe hivyo ni muhumi wananchi wakawa na ujasiri/mamlaka katika uongozi. CHADEMA wanafanya hilo kwa ufanisi wa hali ya juu.

Tukumbuke CHADEMA wamekuwa chama kikuu cha upinzani kwa mwaka mmoja tu, kabla ya hapo ni CUF waliokaa kwenye nafasi hiyo kwa zaidi ya miaka 10! Pengine tujiulize CUF wamefanya nini wakati wakiwa cham kikuu cha upinzani?

Haswaa umemjibu sahii, labda pia niseme vyama vya upinzani vimekuwepo tangu 1992 na sio 1961, so kuanzia 1995 ndipo walianza kutoa mchango wao wa uhamasishaji na maendeleo.
 
Wamesaidia kuelimisha wanainchi kuhusu maovo yanayotendwa na serikali iliopo madarakani kama ufisadi mkubwa unaofanyika ndani ya serikali kama vile EPA,BOT,Mmeremeta,Tungold,ANBEN,RADA, n.k vilevile cdma haina miaka 50 bali inamiaka 20.
 
walioshika usukani ndani ya miaka 50 hawajui gari linaekea wapi ,subiri cdm ishika
ushukani ndiyo ulize gari linaekea wapi? tuombe mungu uwepo kwenye hilo gari.Ila 9december naisubiri kwa hamu kusikiliza wimbo wa taifa utaimbwaje? mungu ,ibariki TANGANYIKA au mungu ibariki Tanzania? maana nijuavyo mimi Tz haijafika miaka50.
 
Jamani Aliyepost Hii Mada Ana Ulemavu wa Fikra Kiitaalamu Bogus,Au Lugha ya Kimtaani ''KILAZA''

CHADEMA ni Chama Cha Kikombozi Kilichoanzishwa mwaka 1994,Chini ya Mwasisi Komrade Edwin Mtei.,

CCM Kilianzishwa mwaka 1977

Katika Uhai Wake chadema kimekuwa na wabunge mbalimbali kutoka wabunge wanne 1994 paka wabunge 23 2011 kwa kuchaguliwa na wananchi, na pia kimeweza kuongoza halmashauri mbalimbali..ambacho ni rekodi kwa chama cha upinzani ukilinganisha na vyama vingine Tanzania..

Tuseme Katika Miaka 17 ya Chadema,..Wamefanya Nini..alafu jiulize miaka 34 CCM wamefanya nini sio mnaleta ushabiki wa kisiasa paka mnaandika vitu ambavyo ni unsounded mind..

Na katika miaka 17 ya CHADEMA, kimefanya mazuri yafuatao

+Kusimamia matumizi mazuri ya fedha katika halmashauri zinazoziongoza...,mfano mzuri karatu na moshi mjini...,ambako fedha za halmashauri zimepelekwa katika maeneo husika katika miradi ya kimaendeleo!
+Kupinga ufisadi na kuwatoa matongotongo watanzania...,hasa kashfa ya EPA,KAGODA na pia sasa hivi serikali imeamka ambako vita dhidi ya ufisadi imezidi kuimarika
+Kuboresha huduma katika jamii kama elimu,afya,barabara,maji ingawa CHADEMA haikusanyi kodi ni chama tu cha siasa,mfano mzuri Arusha mjini..GODBLESS LEMA kupitia mradi wake wa ARDF ameweza kusomesha watoto 1000,Na bado mipango mengine ya kimaendelo ipo njiani..! tujiulize kna mbunge yeyote wa CCM amefanya hivyo!
+Kutuhusisha vijana katika uongozi..,ambapo chadema kimeweza kuwapa ari vijana kwamb a wanaweza kushiriki katika kuleta maendeleo katika nchi yao kwa kugombea ktk nafasi mbalimbali...CHADEMA kilikuwa chama cha kwanza kuwapa fursa vijana mfano mzuri ni john mnyika,halima mdee na david silinde.
+Kuzuia uonevu na ubabaishaji ,..ambapo watu sasa hivi wamejua haki zao pamoja na wajibu wa serikali katika kulinda na kusimamia haki za raia wake

Wana JF hayo ni asilimia 20 ya mambo mazuri ambayo CHADEMA Wameweza kufanya tangia kianzishwe mwaka 1994 paka 2011..,mungu ibariki chadema..,mungu ibariki tanzania
 
Naweza kusema katika miaka 50 ya uhuru chadema imeamsha fikra za watanzania juu ya mambo ambayo yamekuwa yakifanywa na CDM ikiwemo ufisidi
 
wameleta upinzani wa kweli thithiem inawaogopa. hapo kabla ya CDM thithiem ilikuwa haiogopi kitu. through cdm tanganyika inarudi.

Nyika na vome mkuu. Thatha hii thidiem, ndio mkombothi wetu avae?
 
Chadema wamefanikiwa kutumia kodi za wananchi kwa kumlipa katibu mkuu wa chadema(Dr Slaa)milion saba na laki mbili kama mshahara kwa kila mwezi,chadema wamedidimiza sana demokrasia hasa pale mwanachama yeyete ukitaka kugombea nafasi ya juu ya chama ambayo inahatalisha maslahi ya mwenyekiti lazima upotee au uchafuliwe mfano ni chacha wangwe na zitto walipotaka uenyekiti wa chadema taifa zitto akachafuliwa na wangwe akauwawa,wamejitahidi kumentain siasa za ukanda mwenyekiti na katibu wanatoka kaskazini,katibu bavicha kaskazini,mwenyekiti bawacha kaskazini na wakurugenzi makao makuu kaskazini bila kusahau madereva makao makuu kaskazini.chadema wamefanikiwa kutowasomea mapato na matumizi wajumbe wa mkutano mkuu na baraza kuu,chadema wamefanikiwa kuwafanya watanganyika kuhoji maovu ya ccm na kusahau kuwa hata ndani ya chadema kuna ufisadi mkubwa sana kwa mfano chadema wanalipwa sh milion280 kila mwezi kama ruzuku kutoka serikalini lakini mpaka sasa chadema kinashindwa kujenga ofisi mikoani na walayani huku pesa zote wakimlipa mbowe na grace kiwelu kwa kusema kwamba walikikopesha chama kipindi cha uchaguzi,wabunge wa chadema wameendelea kushinikiza serikali kupandisha posho kwa mfano joseph selasini na akunaay huku wakimwita shibuda msaliti huku wenyewe wakiendelea kuchukua lakini yote kwa sababu shibuda si mkaskazini,chadema wamefanikiwa kufanya maandamano ili waweze kugawana posho wakati ni kodi za wananchi,mwisho chadema sio chama ni kampuni ambayo inatumia umaskini na matatizo ya watanzania kama njia ya kujipatia ulaji wa watu wachache ninaamini iko siku watanzania watakuja kuujua ukweli na watakata tamaa na hivi vyama kampuni.
 
changia hoja Chadema wamefanya nini cha Maendeleo kwa taifa hili katika kipindi cha miaka 50 na si kuleta ushabiki wa kichama kwani tunataka kujenga taifa letu na sio kubomoa.

miaka michache ya Chadema imetuonyesha ni chama ambacho kikipewa nafasi ya kushika dola kitaiweka Tz mahali pazuri, wananchi wote watakuwa na fursa sawa awe tajiri au maskini, maana wametusaidia wananchi tuwe na moyo wa uzalendo na kujua ninini kinaendelea serikalin, cjui kwa chama cha mafisadi mnaona lipi la kujivunia.
 
Back
Top Bottom