Miaka 50 ya uhuru - vituo vya polisi aibu tupu

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
poli.JPG


Fedha zinazotengwa miaka yote hii fungu la maendneleo hakuna jitihada za kuboresha vituo vya polisi kama hiki kinachoonekana. Polisi badala ya kuwajibika ametulia na ile radio ya miaka ile 177 or 277 akijiliwaza na midundo ya miziki ya kizazi kipya.
 
Back
Top Bottom