Miaka 50 ya Uhuru,ukifaulisha wote umeiba Mtihani

Jadi

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,494
860
Jamani wanaJF naomba msaada wenu,hawa wasahishaji sasa wamekuwa kama polisi wabambika kesi,eti shule ikifaulisha wanaanza kuangalia watu majibu yamelingana,nashangaa na naumia kuwaona walimu wanafanya juhudi watu wafaulu wengine wanaombea wafeli. Nijuavyo mimi majibu yanatakiwa yafanane ili mfaulu wote,marking scheme ni moja,ina maana walitaka majibu yapishane ili wafurahie watu kufeli?

Huu ni wivu wa wasahishaji au ni wivu wa maafisa elimu kwa baadhi ya shule zinazofaulisha,inakuwaje shule.watoto wote best wafeli?eti wamefanana majibu,huyu polisi na hakimu wa kusahisha mitihani ni nani?mbona ni aibu jamani?inakuwaje?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom