Miaka 50 ya uhuru still no vazi la taifa!?... Mungu wangu!!!!!

Kanguni

Member
May 9, 2011
26
1
Waungwana nisaidieani mwenzenu sielewi kabisaaaaaa.... Hivi kutafuta vazi la taifa la Tz mwaka 2012 si sababu tosha ya kuwaburuza mahakamani mawaziri wote waliopita waliopewa dhamana ya utamaduni? kwa nini hatukutafuta vazi la taifa miaka ya 60 huko?.. kama zipo sababu za msingi nisaidieani pliz... aaah sisi bwana...
 
Bado sijaelewa mantiki ya kuwa na vazi la taifa,kwanza tunatakuwa na vazi la taifa ili iweje??,litasidia vipi katika kukuza uchumi?,cha muhimu ni kutunza utamaduni wetu na sio hadithi ya vazi la taifa.....kwanza ni upotevu wa pesa tu kuhunda tume ya kuandaa vazi la taifa baada ya miaka 50 ya mkoloni kuondoka katika ardhi ya wana watanagnyika,
 
Back
Top Bottom