miaka 50 ya uhuru ongezeko la IT chuoni oyeee..

Hau

Member
Nov 14, 2011
24
1
napenda kupongeza serikali kuhakikisha kila chuo wanatoa masomo ya IT nchini bali miaka inayokuja waboreshe ajira.
 
napenda kupongeza serikali kuhakikisha kila chuo wanatoa masomo ya IT nchini bali miaka inayokuja waboreshe ajira.

Haina maana yeyote kuanzisha IT course kila chuo wakati kuna ufinyu wa ajira hiyo ni sawa na kujaza pipa maji kwa kutumia kichujio

Whenever you do anything rember your Aim
 
Back
Top Bottom