MIAKA 50 YA UHURU: Kuna tukio lipi linalokushangaza, kukuudhi au hata kukufurahisha?

DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
2,429
5,886
Mimi ninayo mengi lakini hili lifuatalo limeniudhi mpaka nikacheka:-

Kwamba miaka ya 70 Benki kuu ilikumbwa na janga la moto, ikadaiwa kiasi kikubwa cha fedha (noti) zimeungua!

Uchunguzi uliokuja kufanywa na Scotland Yard ukabainisha kuwa majivu yaliyokutwa na kuchunguzwa ni ya mapumba ya ngano na hayahusiani na fedha!!!! Wakaamuriwa kuondoka nchini mara moja.

Natambua kuwa fedha za noti zinatengenezwa kwa unga wa ngano, Lakini Bado naendelea kutafakari huku nikicheka (ironically though)!

Wewe una ipi?
 
Back
Top Bottom