miaka 50 ya uhuru je tutafika huku?

Hii nchi imejaa vibaka, kila mtu anaiba tuuuu,,sasa maendeleo yatatoka wapi?!!
 
kama ubungo tumeshindwa kuweka fly over za concrete za kupitisha magari
na kama kwenda pale kigamboni mpaka leo tunatumia ferry unadhani fly over za mito tutaziweza
wanasemaaaa " kama cha geti kali umekishindwa utaweza cha kicheche...?" and the opposite is true also
 
Back
Top Bottom