Miaka 50 Ya Uhuru Bado Tuko Hivi

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
Katika pitapita yangu nimekutana na kituko cha huyu mama akiuza kuku huku akiwa kambeba kama mtoto mgongoni nilijiuliza maswali mengi sana juu ya hili na nikiangalia miaka ya uhuru tunaojivunia matunda yake ndo haya.
Mtaturu na Kuku.jpg
 
HApo watalii wakiona lazima wamimike kuhakikisha kivutio hicho
 
Back
Top Bottom