Miaka 50 hakuna chakujivunia kama mbwai mbwai tuuuuuuuuuuuuu

shegaboy

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
213
34
Hivi hii nchi ni nani alituloga? Najaribu kuufikirisha ubongo wangu nashindwa kuelewa kweli tarehe 9 disemba tunasheherekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika jamni lakini tuko pale pale.
kwa mfano
1. Shule watu bado mapaka leo miaka 50 tunashindwa kuweka kila shule madawati watu wanakalia matofali, ubao ni bati hii ni aibu
kupitiliza watanzania.

2. Umeme leo miaka 50 tuna umeme asilimia 20 tu ya watanzania na tena umeme wenyewe sio wa uhakika yaani kama tupo gizani
wote
tunatoka kwenda nje kuomba waje wawekezaji wakawekeze gizani inasikitisha sana

3. Maliasili watu wanauza wanyamapori wetu nje nani atakuja kuangalia wanyama hapa wakati wengi wamesha kwenda kwao, madini
watu tena hawa ni viongozi wetu kabisa tumewachagua wenyewe wanauza unategemea nini huku chini kifanyike

4. Madini wawekezaji wanapewa mikataba ya miaka miambili kuchimba tu madini nani kati yetu hapa atakuwepo mpaka miaka mia mbili
hakuna hata mmoja ila Mwalimu Nyerere aliona haya akasema tuyaache wajekuchimba watanzania wakiwa na hakila sasa kuna
wenzetu wakatuzidi ujanja wakaja kwa njia ya uwekezaji na hali ni wao ndio wanatunyonya .

NAITIMISHA HIVI TUTAKUJA KUONANA WABAYA MBELE YA SAFARI KWANI SI KILA MTU ANAPENDA KUWA MASKINI TUTAKUJA HUKO HUKO KUCHUKUA VYETU MAANA TUNAONA MNATUCHEZEA TU. AIWEZEKANI MLE WENYEWE SISI TUTESEKE NAKATWA KODI KATIKA KIMSHAHARA KANGU KADOGO SIONI MAENDELEO NACHANGIA PATO KUBWA KATIKA KUENDELEZA NCHI YANGU SIONI MAENDELEO. TUNAKUJA HUKO HUKO NA SAFARI HII MTAJUA KUWA WATANZANIA SIVYO MLIVYOKUWA MNAWADHANIA.
 
ahhh hivi kweli tunashindwa kuchimba dhahabu mapato yake tukatumia kununua vywandarua mapaka marekani waje kutupa vyandarua, na kwamfano mimi sija pata hicho chandarua inasikitisha sana tanzania hatuna viongozi ni wachumia tumbo tuu wote. hata sisi tunashindwa ka swali kadogo kama haka vyandarua kikwete kuwa wa garama kidogo bwana sio kihivyo wewe
 
Miaka hamsini...tunazo shule za KATA: .......ELimu kwa woooooooteeeeee ili kuongeza ujinga mwingi Tanganyika
 
Back
Top Bottom