Miaka 50 baada ya uhuru : Tunawatenga wakulima

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu nimekuwa najiuliza hivi watu ambao ni wakulima wananafasi gani katika nchi hii

Teusi nyingi hata zile za Kisiasa kama uuwaziri , ubunge, Uuu wa mkoa, Uuu wa wilaya , nk wengi wanaopewa nafasi ni watu kama vile wanashera, madaktari, walimu, wafanya biashara wachumi wahandisi,wanajeshi lakini hakuna wakulima au wafugaji

Sijawahi kusikia mtu ameteuliwa nafasi za kisiasa kwa sababu ya sifa ya ukulima au ufugaji

Je
  • Wakulima na wafugaji hawana nafasi katika uongozi wa nchi hii?
  • Watu waliobbea kwenye kilimo na mifug hawana mawazo yakutupeleka kule tunakotaka?
  • Kwa nn nafasi za upendeleo(viti maalum) eg bungeni zisitolewe kwa kigezo cha uzalishaji kwenye sekta ya kilimo na mifugo.
 
Back
Top Bottom