Miaka 5 ya kifo cha Osama na rangi halisi za Mmarekani

Hazna ukweli wowote mkuu
....hahaaa sasa muamerika ameweka uthibitisho wake tayari,na wewe uweke wa kwako tuuone!,haya tuambie;Osama alikufa kwa ugonjwa gani?!,na kuzikwa wapi?
 
....hizi idara za usalama za wenzetu ziko poa sana,yani jamaa wanatuhadithia jinsi walivyofanya mambo yao kama unatazama movie!,wakati jamaa zetu hapa,hata kun'goa mtu kucha tu hawatuambii ilikuwaje?!
#ushamba!
 
Madongo yenye ukweli na uhalisia
 
Hayo ni maigizo ya mmarekani tu, walitumia jina la Osama kama mhusika tu, jiulize je, shambulio la 2001 huko marekani lililodhaniwa kufanywa na huyu bwana lilikuwa ni halisi? Kama ni hivyo kwa ulinzi mzito wa air defence ya marekani kuna uwezekano wa ndege kupita anga hiyo ikiwa warheads za kushambulia bila kunaswa na radar zao? Kwanini wayahudi waliokuwa wakitumia hilo jengo walitoka kabla ya shambulio hilo? Kwanini balozi za Marekani zilishambuliwa kirahisi kwa mpigo kwa kenya na Tz? Kwanini walipomuua hawakumuonyesha sana/vzr badala yake alizikwa baharini haraka sana?
Hapo walikuwa wanaandaa mazingira ya kuivamia Pakistan ili kufanikisha strategic plans zao not otherwise, There was nobody called Osama the terrorist but, the name was used to nominate a character in that masonic mission vs Arabs
 
Mkuu kwa jinsi unavyoijua marekani jee ingeweza kufanya haya kwa siri?
1 kutokuonyesha hata mwili Wa marehem
2 kuficha hata kaburi lake

3 kutokuonyesha hata mashambulizi waliofanya mpaka kumuua?

Wote tumeona marekan ilivyopandikiza sumu kwa dunia kuwa osama ni gaid Wa dunia je unafkir angeweza kufanya haya yote kwa siri?

Mbona mengine mengi tunaonyeshwa liv hili limekuwa siri sana?

wamarekani walifanya hivyo kuepusha nyinyi wafuasi wake msiwe mnaenda kuhijj kwenye kaburi lake
 
Me naona ni either Osama anakula bata marekani kama anavyodai Snowden ama aliuwawa tareh kama hii 2012 vinginevyo siafikiani navyo
 
Hayo ni maigizo ya mmarekani tu, walitumia jina la Osama kama mhusika tu, jiulize je, shambulio la 2001 huko marekani lililodhaniwa kufanywa na huyu bwana lilikuwa ni halisi? Kama ni hivyo kwa ulinzi mzito wa air defence ya marekani kuna uwezekano wa ndege kupita anga hiyo ikiwa warheads za kushambulia bila kunaswa na radar zao? Kwanini wayahudi waliokuwa wakitumia hilo jengo walitoka kabla ya shambulio hilo? Kwanini balozi za Marekani zilishambuliwa kirahisi kwa mpigo kwa kenya na Tz? Kwanini walipomuua hawakumuonyesha sana/vzr badala yake alizikwa baharini haraka sana?
Hapo walikuwa wanaandaa mazingira ya kuivamia Pakistan ili kufanikisha strategic plans zao not otherwise, There was nobody called Osama the terrorist but, the name was used to nominate a character in that masonic mission vs Arabs
conspiracy theory!!!
 
Osama was/is CIA asset.

Alikuwa kwenye special operations na objective imekuwa achieved.

Sasa hivi amepumzika zake anakula mvinyo tu.
 
Hayo ni maigizo ya mmarekani tu, walitumia jina la Osama kama mhusika tu, jiulize je, shambulio la 2001 huko marekani lililodhaniwa kufanywa na huyu bwana lilikuwa ni halisi? Kama ni hivyo kwa ulinzi mzito wa air defence ya marekani kuna uwezekano wa ndege kupita anga hiyo ikiwa warheads za kushambulia bila kunaswa na radar zao? Kwanini wayahudi waliokuwa wakitumia hilo jengo walitoka kabla ya shambulio hilo? Kwanini balozi za Marekani zilishambuliwa kirahisi kwa mpigo kwa kenya na Tz? Kwanini walipomuua hawakumuonyesha sana/vzr badala yake alizikwa baharini haraka sana?
Hapo walikuwa wanaandaa mazingira ya kuivamia Pakistan ili kufanikisha strategic plans zao not otherwise, There was nobody called Osama the terrorist but, the name was used to nominate a character in that masonic mission vs Arabs
Wewe sasa ndio unajua nini kinaendelea chini ya meza naona wengine ni hadithi za alinacha tu
 
Hayo ni maigizo ya mmarekani tu, walitumia jina la Osama kama mhusika tu, jiulize je, shambulio la 2001 huko marekani lililodhaniwa kufanywa na huyu bwana lilikuwa ni halisi? Kama ni hivyo kwa ulinzi mzito wa air defence ya marekani kuna uwezekano wa ndege kupita anga hiyo ikiwa warheads za kushambulia bila kunaswa na radar zao? Kwanini wayahudi waliokuwa wakitumia hilo jengo walitoka kabla ya shambulio hilo? Kwanini balozi za Marekani zilishambuliwa kirahisi kwa mpigo kwa kenya na Tz? Kwanini walipomuua hawakumuonyesha sana/vzr badala yake alizikwa baharini haraka sana?
Hapo walikuwa wanaandaa mazingira ya kuivamia Pakistan ili kufanikisha strategic plans zao not otherwise, There was nobody called Osama the terrorist but, the name was used to nominate a character in that masonic mission vs Arabs
Hizo conspiracy theory zenu zimekuwa nyingi mpaka zinaboa!!! Mi nawashangaaga sana watu, watu zaidi ya 3000 walikufa sikuile WTC buildings zilipodondoka!! Kuna watu wamebaki yatima, wengine wameachwa wajane, watu wamepoteza wapendwa wao alafu unakuta kuna mtu kwenye mtandao anajadili lile tukio kama vile ni hadithi flani hivi ya Cinderella!!! Mimi am glad they got the mother***ker.. They world is much better without people like him.. Mwache aoze baharini au huko walikomficha, whatever..

USA baby...
 
WTC ni tukio halisi la kigaidi...mmarekani asingeweza kujifanyia kitu mbaya kama kile ni hasara kubwa sana imepatikana pale ikiwemo upotevu wa roho nyingi kwa wakati mmoja
Kuuawa kwa Osama pia ni tukio halisi wasingeza kufake kwa kiasi kile na kwa gharama kubwa vile
Habari za Snowden kuwa Osama yuko hai kwa kiasi kikubwa ni mpango wa wamarekani pis ili watu wabaki njiapanda na wasiwe na hakika kama kafa ama la
 
Sio maiti yake tuu hata mazishi na kaburi lake havipo....ikibidi mmarekani atumie na tiba mbadala kuweza kumpata jamaa
1d00b77a74210202dc4ed389a354f90f.jpg
Hii pekeyake ndio nimefanikiwa kuipata

Mbona kwenye hizo picha za maiti yake kuna ambayo anaonekana ana ndevu nyongi na kuna ambayo hana ndevu nyingi..
Au ni photoshop
 
Back
Top Bottom