Miaka 5 ya kifo cha Osama na rangi halisi za Mmarekani

Yawezekana kafa ila sio tarehe tajwa mkuu na wala hajauwawa na mmarekan
Aidha atakuwa alikufa kifo cha mungu tuu
Kuna tweets nyingi sana mtandaoni hebu zicheki japo curiosity yako pia ina sound
 
kifo cha Osama nakifananisha na cha Balali.
hivi vifo siwezi kuviamini daima...
SWALI
je kama Osama walimuua kwanini sasa hawakumuonyesha kama Sadam Husein walivyomuua?
tena na kwa jinsi marekani walivyokuwa na sifa ni lazima, ni lazima wangemuonyesha na ukizingatia kumuua Osama ilikuwa ni moja ya sera kwenye kampeni za Obama
 
...nimeona tweets walizoposti CIA leo wakikumbuka miaka mitano toka wamuue,nikizisoma naona kama zina ukweli vile!, halafu kama alikufa kwa ugonjwa,ndugu zake/wake zake si wangesema amekufa kwa ugonjwa!, naanza kuamini muamerika alimaliza hii kazi.
Mkuu wangesemea wap wakat ukijulikana we ni ukoo Wa Osama unakula chuma?
 
kifo cha Osama nakifananisha na cha Balali.
hivi vifo siwezi kuviamini daima...
SWALI
je kama Osama walimuua kwanini sasa hawakumuonyesha kama Sadam Husein walivyomuua?
tena na kwa jinsi marekani walivyokuwa na sifa ni lazima, ni lazima wangemuonyesha na ukizingatia kumuua Osama ilikuwa ni moja ya sera kwenye kampeni za Obama
Cha Osama at least kina commotions...! Balali mmh
 
...nimeona tweets walizoposti CIA leo wakikumbuka miaka mitano toka wamuue,nikizisoma naona kama zina ukweli vile!, halafu kama alikufa kwa ugonjwa,ndugu zake/wake zake si wangesema amekufa kwa ugonjwa!, naanza kuamini muamerika alimaliza hii kazi.
Hazna ukweli wowote mkuu
 
Sijui akili yangu ikoje!,yaani naweza kuamini OSAMA alikufa lakini si kuuawa na mmarekani na wala si tarehe kama ya leo.

We ni sawa na mimi mkuu yan akili yangu haitak kabisa kuamin kuwa osama kauwawa na mmarekan
duh!! kwani yeye nani mpaka isiwezekane kuuwawa?? yani kuna watu wanamchulia osama kama jini flani hivi wakati ni binadamu tu wa damu na nyama.. marekani ana most powerful millitary and most effective intelligence organisation kwanini washindwe kumpata osama?? anaishi mars??

alafu usisahahu they have been gathering intel about him for more than 20 years sasa kwanini wasimnyake??? swali la msingi ninaloliona ni je usiku ule osama walimuua kweli au walimchukua hai????
 
Focal point
 
kifo cha Osama nakifananisha na cha Balali.
hivi vifo siwezi kuviamini daima...
SWALI
je kama Osama walimuua kwanini sasa hawakumuonyesha kama Sadam Husein walivyomuua?
tena na kwa jinsi marekani walivyokuwa na sifa ni lazima, ni lazima wangemuonyesha na ukizingatia kumuua Osama ilikuwa ni moja ya sera kwenye kampeni za Obama
Chukua mkuu uko pamoja na mimi kwa kile ninachokimini
 
Ila iwe vyovyote vile iwavyo jamaa kawajambisha wale wadudu
 
Mkuu kwa jinsi unavyoijua marekani jee ingeweza kufanya haya kwa siri?
1 kutokuonyesha hata mwili Wa marehem
2 kuficha hata kaburi lake

3 kutokuonyesha hata mashambulizi waliofanya mpaka kumuua?

Wote tumeona marekan ilivyopandikiza sumu kwa dunia kuwa osama ni gaid Wa dunia je unafkir angeweza kufanya haya yote kwa siri?

Mbona mengine mengi tunaonyeshwa liv hili limekuwa siri sana?
 
Sadam Hussein alinyongwa hadharani... Media zote kubwa duniani zilionesha!! sasa huyu Osama mbona yeye ishu yake ipo "classified" sana!!!

Sadam husen tulionyeshwa kila kitu mpaka wakat wanamnyonga
Jee hilo gaid la dunia hata maiti yake isionyeshwe?
Hata kabur lake?
Itachukua muda sana Mimi kuamini hilo
watuonyeshe maiti yake sisi kama akina nani??? this is not a "show off" alafu hawana interest ya kuprove kwako/kwetu kama wamemuua?? interest yao ya msingi ni kuhakikisha usalama wa raia wao?? hizo proof tunazozitaka tutasubiri mpaka yesu anarudi who are we mpaka wajisumbue kutuletea proofs??? as long as hiyo threat ya osama has been neutralized its perfect to them

alafu you cant compare case ya sadam na osama! Sadam alikuwa head of state kwahiyo excution yake ilibidi iwe carefull kuepusha contraverse lakini osama alikuwa stateless so ukimfumania sehemu unatia shaba au unaenda kumfungia kusikojulikana alafu unautangazia ulimwengu ushamuua..
 
Mkuu kwa jinsi unavyoijua marekani jee ingeweza kufanya haya kwa siri?
1 kutokuonyesha hata mwili Wa marehem
2 kuficha hata kaburi lake

3 kutokuonyesha hata mashambulizi waliofanya mpaka kumuua?

Wote tumeona marekan ilivyopandikiza sumu kwa dunia kuwa osama ni gaid Wa dunia je unafkir angeweza kufanya haya yote kwa siri?

Mbona mengine mengi tunaonyeshwa liv hili limekuwa siri sana?
Sasa hivi tulicho nacho ni speculations za ama kafa au hajafa na ubuyu ukatiwa ndimu na Edo Snowden....! Iko hivi tusijipe shida sana kuhusu hili..mmarekani ni mjanja sana kwa mkanganyiko huu anapumua kwakuwa kama ikija kuthibitika kweli Osama kafa basi wafuasi wake duniani kote watafanya maadhimisho rasmi na maalum ya kukumbuka kifo chake na kukienzi kwa kuharibu na kuangamiza wamerekani na maslahi yao popote duniani
 
Back
Top Bottom