Miaka 13 ya CCM bila Nyerere...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Mada ipo hapo juu..Mgeni Mwalikwa ni Mukama.

Mukama anasema CCM ina wanachama mil 6.2,
Wajumbe Wa Nec sasa hivi 40% ni wafanyakazi
40% ni wafanya biashara wadogo wadogo.

Kuhusu Rushwa:Hajaona mwanachama wala mgombea alielalamika kuhusu Rushwa..
Kipindi Hamza hour kasongo
Chanel Ten.
 
yaaani katika watu wote wa kukaa chini na kuongelea kuhusu miaka 13 bila nyerere wameamua kumueka huyo mzee masharubu...dayuummm
 
Yani ktk muda wa kutokuwepo Mwl ni kwmb mimi ningetamani awe alipokufa na ccm naye ipotelee huko alipo!
Chama hiki cha ccm ni pigo kwa Taifa tangu Mwl atangulie mbele ya haki!
 
Mada ipo hapo juu..Mgeni Mwalikwa ni Mukama.

Mukama anasema CCM ina wanachama mil 6.2,
Wajumbe Wa Nec sasa hivi 40% ni wafanyakazi
40% ni wafanya biashara wadogo wadogo.

Kuhusu Rushwa:Hajaona mwanachama wala mgombea alielalamika kuhusu Rushwa..
Kipindi Hamza hour kasongo
Chanel Ten.

Kujadili hili la Mukama ni kupoteza muda...
 
Back
Top Bottom