Miaka 10 ya Uhuru

Deus Shayo

New Member
May 9, 2010
4
0
Tunaadhimisha miaka 10 ya uhuru 9 Des., 2011. Sherehe hizi ni hadi Zanzibar?
Jana kuna mwenzangu alisoma kwenye chupa ya bia ya Kili akauliza ' mbona hapajaandikwa ni uhuru wa nchi gani?' mwingine akasema, 'Naona liliwakanganya TBL.
 
He kumbe ni kumi! Sikujua.
 
Back
Top Bottom