Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 352
Hii attack ndio ilinibadilishia utaratibu wangu kabisa....nilikuwa kwenye process ya kupata visa ya kwenda US Jan 2002...Ikakataliwa na kuwekwa masharti magumu ya kupata....ndio nilipo amua kubaki tanzania yetu na sasa sijui leo ningekuwa wapi lakii....mpaka sasa nashukuru kwa yote.