Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

so una mpango gani jioni hii na wifi yangu, wachana na macharali na kitimoto, hebu fanya fanya mambo kukamilisha raha yake, c unajua tena, leo pitia dukani nunua kazawai katamu, mpe mtoko kdogo, khaaa wewe unasheherekea miaka 10, frnd wangu jana ananical ananiambia anaandaa dinner ya mwaka mmoja wa ndoa...bac cku zinasonga.

Kutoka tena? Mi nilidhani unamwambia awahi nyumbani saa 12 ili aepuke vishawishi na kutekeleza vema majukumu pale home kwake...
 
umeonae? sasa kwa sababu wewe ni chizi, ukimfumania mwehu wako anafanya infidelity chukulia tu mambo ya kiwehuwehu...utaona ndoa yako itakavyodumu!
ha ha ha ha!
hii posti mi sijaiona kabisaaaaaaaaaaaaaaa!

yee muukwi yii nguluvi mi hii sredi sijaiona
 
Halafu mkuu Asprin hebu tupe dondoo kidogo za ile siku ya ndoa.....ulikunywa valuer?? Oppss hazikuwepo!!!
Unakumbuka ule wosia wa baba???
 
Kama sio ulabu usingefika hapo (10years). Na ukitaka kujua ukweli, jaribu yafuatayo;

  1. Acha ulabu, na uanze kushinda nyumbani kwako na familia yako...!
  2. Ongeza mahudhurio yako kanisani...!
  3. Jaribu siku moja kuonesha kuchukia kitu, na kumpa madongo kiasi.
  4. Jaribu kutaka kumfahamu mkeo zaidi ya hapo.....!

wewe sasa naona unataka kuvunja ndoa ya watu, unashaurije aache vyote vilivyomfikisha hapo alipo???

King atakupa somo tena one on one mazee
 
hili jukwaa balaa, yani kutoka kidogo tu kama ishakula futi tano!!???

Mkuu kweli unahitaji cheers...

Ndoa ni only qualification ambayo unapewa cheti na safari halafu ndio unaanza kitabu... you have made it to yen year,

  1. kwanza mshukuru mungu kwa kukupa uhai, uatshi na MKE MWEMA (MAANA HUYO NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU NA SIO ZAWADI KUTOKA KAUNTA)
  2. Pili mshukuru mkeo
  3. tatu wazazi au walezi waliomlea na wale waliokulea - wangewaharibu msingefika hapo
  4. mwisho ni watoto wenu na wote wanaowaombea mema

Mengine yote ni majaaliwa yake na vijijaaliwa vya mitaani

Chamber imekuandalia valeur na wine ya ndizi toka moshi especially for you, tumeagiza mnyama na tunaomba wapenzi wote wa konyagi wanywe chupa mojamoja kwa furaha tele na kwa gharama zao

mbona vinywaji vya kibaguzi, tusiotumia hivyo mtatusaidiaje?..au ndio nina kiherehere cjaalikwa najialika?
 
Hongera sana Asprin kwa hiyo miaka ya ndoa, kwa kweli siyo mchezo.
Nakupongeza pia kwa kutokuhisiwa, hilo ndo la muhimu.................. jitahidi sana usiuumize moyo wa mwenzio. Otherwise, kuacha infii ni uamuzi wako............. na ukiacha mambo yatakuwa mazuri zaidi
 
Kutoka tena? Mi nilidhani unamwambia awahi nyumbani saa 12 ili aepuke vishawishi na kutekeleza vema majukumu pale home kwake...

ndio atoke na mama(wifi yangu)...ampe mtoko wa nguvu jamani, 10 yrs sio mchezo kwa dunia ya leo.
 
hili jukwaa balaa, yani kutoka kidogo tu kama ishakula futi tano!!???

Mkuu kweli unahitaji cheers...

Ndoa ni only qualification ambayo unapewa cheti na safari halafu ndio unaanza kitabu... you have made it to yen year,

  1. kwanza mshukuru mungu kwa kukupa uhai, uatshi na MKE MWEMA (MAANA HUYO NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU NA SIO ZAWADI KUTOKA KAUNTA)
  2. Pili mshukuru mkeo
  3. tatu wazazi au walezi waliomlea na wale waliokulea - wangewaharibu msingefika hapo
  4. mwisho ni watoto wenu na wote wanaowaombea mema

Mengine yote ni majaaliwa yake na vijijaaliwa vya mitaani

Chamber imekuandalia valeur na wine ya ndizi toka moshi especially for you, tumeagiza mnyama na tunaomba wapenzi wote wa konyagi wanywe chupa mojamoja kwa furaha tele na kwa gharama zao

Hii yuziful sredi nimeiprinti nakala tano.
Ya kwanza ntamkabidhi wife
Ya pili wazazi wangu
Ya tatu mzazi wake (RIP mama mkwe wangu)
Ya tatu vijana wanachama hai wa ISC
Ya nne Kaunta kwa ajili ya kina Elizaz and co.

Mimi nimeiweka kwenye desktop kwa ajili ya kuiperuzi kila siku mpaka ntakapogonga miaka 25 kwa kudra za mwenyezi Mungu!

Tuombeane heri!
 
wewe sasa naona unataka kuvunja ndoa ya watu, unashaurije aache vyote vilivyomfikisha hapo alipo???

King atakupa somo tena one on one mazee
The Following User Says Thank You to Acid For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.

Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.

Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)

Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.

Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.

Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.

Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!

Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!

Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:

Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!

:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:

Big up kamanda,

umetisha sana, huu ni mfano mzuri sana. Vijana wa siku hizi kumaliza mwaka mmoja ndani ya ndoa wanaadhimisha kwa sherehe za kukata na mundu, manake siku hizi kuna watu wanafunga ndoa jumamosi wanaachana jumapili!! Pia naomba unifikishie salamu kwa rishemeji rangu namtakia kheri na fanaka katika maisha yenu ya ndoa .
 
Halafu mkuu Asprin hebu tupe dondoo kidogo za ile siku ya ndoa.....ulikunywa valuer?? Oppss hazikuwepo!!!
Unakumbuka ule wosia wa baba???

Vodka mazee. Nakumbuka kidogo nimwangushe my dear wife kule beach tulipoenda kupiga picha!
 
Big up kamanda,

umetisha sana, huu ni mfano mzuri sana. Vijana wa siku hizi kumaliza mwaka mmoja ndani ya ndoa wanaadhimisha kwa sherehe za kukata na mundu, manake siku hizi kuna watu wanafunga ndoa jumamosi wanaachana jumapili!! Pia naomba unifikishie salamu kwa rishemeji rangu namtakia kheri na fanaka katika maisha yenu ya ndoa .

Thanks kamanda!

Alafu wewe una deni la kulipa!
 
Mkulu Asprini Hongera sana kwa siku hii ya leo

Nimechelewa manake weekend niko hoi from friday till today (damn).....in fact nilikuwa kwneye recruitment pia kuna "eliza' mwingine kaingia kundini kwa moto wa ajabu kabisa....details to follow

Asprin bill ya Valuer leo itakuwa kwangu japo najua mtakuwa na mama Matesha lakini sio neno pale mi si nafahamika?

Vinara wengine tukutane tusherekee kwa niaba ya ODM hata kama atakuwa anajituma home....in fact tunarevise rule no.3.....
 
mbona vinywaji vya kibaguzi, tusiotumia hivyo mtatusaidiaje?..au ndio nina kiherehere cjaalikwa najialika?
dadangu,

samahani sana kwa kauli ya kibaguzi... wote ni waalikwa na wote lazma wanywe... hivyo vinywaji nilivisisitiza hasa kutokana na kujua kwamba asprin na ndito yake wanatumia hiyo na konyagi ni kwasababu MC huwa anapenda sana kuonja

ambacho tunaomba kisiletwe ni bia bingwa na serengeti ze kick, maana watu wakishazinywa wanakua ngumi jiwe na kurap sanaaa kama diouf wa twanga
 
Mkulu Asprini Hongera sana kwa siku hii ya leo

Nimechelewa manake weekend niko hoi from friday till today (damn).....in fact nilikuwa kwneye recruitment pia kuna "eliza' mwingine kaingia kundini kwa moto wa ajabu kabisa....details to follow

Asprin bill ya Valuer leo itakuwa kwangu japo najua mtakuwa na mama Matesha lakini sio neno pale mi si nafahamika?

Vinara wengine tukutane tusherekee kwa niaba ya ODM hata kama atakuwa anajituma home....in fact tunarevise rule no.3.....
hahahahaha!
HABBARR YAKO MWENYEKITI BAAANAAAAAAAAAAAA!......
HAAABBBAAARR YAKOOO OODIIIEEEMUUUUUUUUUUUUU...................!

AAAH FREEESHIIIIIII
 
dadangu,

samahani sana kwa kauli ya kibaguzi... wote ni waalikwa na wote lazma wanywe... hivyo vinywaji nilivisisitiza hasa kutokana na kujua kwamba asprin na ndito yake wanatumia hiyo na konyagi ni kwasababu MC huwa anapenda sana kuonja

ambacho tunaomba kisiletwe ni bia bingwa na serengeti ze kick, maana watu wakishazinywa wanakua ngumi jiwe na kurap sanaaa kama diouf wa twanga

Wee ntakuhamisha meza!
 
aluu in fact kuna nyingin zinaitwa banana wine and co hizo hazina hata nembo ya TBS....kuna vijana wameshindwa ndoa zao sababu ya hizo pombe.....sasa kwa vile tunaadhimisha miaka 10 ya ndoa ya ODM...please na wanywaji wa hizo watusamehe kwa kweli....
 
Mkulu Asprini Hongera sana kwa siku hii ya leo

Nimechelewa manake weekend niko hoi from friday till today (damn).....in fact nilikuwa kwneye recruitment pia kuna "eliza' mwingine kaingia kundini kwa moto wa ajabu kabisa....details to follow

Asprin bill ya Valuer leo itakuwa kwangu japo najua mtakuwa na mama Matesha lakini sio neno pale mi si nafahamika?

Vinara wengine tukutane tusherekee kwa niaba ya ODM hata kama atakuwa anajituma home....in fact tunarevise rule no.3.....

kamanda... hakikisha hii rule haifiki nyumbani tu, maana itakua balaa
 
Mkulu Asprini Hongera sana kwa siku hii ya leo

Nimechelewa manake weekend niko hoi from friday till today (damn).....in fact nilikuwa kwneye recruitment pia kuna "eliza' mwingine kaingia kundini kwa moto wa ajabu kabisa....details to follow

Asprin bill ya Valuer leo itakuwa kwangu japo najua mtakuwa na mama Matesha lakini sio neno pale mi si nafahamika?

Vinara wengine tukutane tusherekee kwa niaba ya ODM hata kama atakuwa anajituma home....in fact tunarevise rule no.3.....

Hahahaha! Ahsante hommie..

Halafu hii rule namba 3 kuna baadhi ya maneno yanahitajika ufafanuzi
KIZURI ni kipi? kuna kizuri A na kizuri B?
NDUGUYO ni nani?

Naomba kuwasilisha mheshimiwa mwenyekiti!
 
Back
Top Bottom