Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

Hehehehe! nilijaribu siku moja kukaa nyumbani baada ya kutoka kazini. Nyumba nzima watu walikuwa mabubu. watoto wanataka kuangalia katuni, mi niko bize na CNN. mpaka mama yao aliponiambia LEO HUTOKI?

Hahahahahahahaha.....! Mbavu zangu zinavunjika mkuu! Hata LOWASA alisalimika kiasi fulani pale alipopewa nafasi ya kwanza na bila kukosea, alitumia nafasi hiyo kukimbia jukwaa na kujiuzulu...! Ungejaribu kufanya hiyo kama tabia yako ungekiona cha moto, na leo usingekua na ujeuri wa kuyasema haya...!
 
Sasa babu miaka yote hiyo si uachie basi nature??? Maana kama kuhunt umeshahunt sana na kama kudiscover umeshadiscover mpaka vinajirudia...... honor your marriage

Unaju MJ1 kusdiscober huwa hakuishi na ndio maana hata magari kila siku kuna toleo jipya unaambiwa hiyo ya 2008 hii ya 2009 hii sijui ya 2010 yaani kila siku wanabuni kitu kipya
 
miaka 10 si mchezo.....................!
hongera kiongozi.....................!
nitajitahidi kufuata nyayo.......................!
 
Usiusemee moyo wa Nyamayao mwache aseme mwenyewe...

tutakuwa pamoja, sio anausemea anajua kabisa akisema yeye mie cbishi....kaka yangu hongera sana tena sana, leo umenifurahisha sana aisee,mpe hongera sana wif iyangu.
 
Unaju MJ1 kusdiscober huwa hakuishi na ndio maana hata magari kila siku kuna toleo jipya unaambiwa hiyo ya 2008 hii ya 2009 hii sijui ya 2010 yaani kila siku wanabuni kitu kipya
...........Mh kwa kweli kama ni hivi bora tu niwe mpole .....................
 
hongera sana

mungu awaongezee maisha ya mapenzi pamoja ifike angalau mara 5 ya hiyo ya sasa :)
 
Hongera sana Asprin Pamoja na ma infidelitry yako unajitahidi kutunza ndoa yako
Be blessed iko siku utaacha
Nakutakia miaka mingi zaidi ya ndoa na mafanikio mpaka pale kifo kitakapowatenganisha
yours ..yours FL1
 
Sasa babu miaka yote hiyo si uachie basi nature??? Maana kama kuhunt umeshahunt sana na kama kudiscover umeshadiscover mpaka vinajirudia...... honor your marriage
I honour my marriage grandie!....10 solid years is not a joke!....yaani yote hiyo usi do the needful yapo mara 12 kwa mwaka?
 
miaka 10 si mchezo.....................!
hongera kiongozi.....................!
nitajitahidi kufuata nyayo.......................!

tutakuwa pamoja, sio anausemea anajua kabisa akisema yeye mie cbishi....kaka yangu hongera sana tena sana, leo umenifurahisha sana aisee,mpe hongera sana wif iyangu.

Nyie ni watoto wazuri! Nawapendeni na nawaombeeni mdumu katika ndoa zenu kama mimi kaka yenu!
 
I honour my marriage grandie!....10 solid years is not a joke!....yaani yote hiyo usi do the needful yapo mara 12 kwa mwaka?

ndoa ya mtu ukifikisha hiyo miaka bwana unampa heshima yake, kha 10 yrs sio mchezo, cku hizi wanaoa/olewa kesho wakisuguana kidogo kila mtu ana shika zake....mpende sana mkeo.
 
hongera sana

mungu awaongezee maisha ya mapenzi pamoja ifike angalau mara 5 ya hiyo ya sasa :)
Ahsante mwalimu...nawe nakuombea upate mume bora, mwenye mtarimbo utakaokuridhisha, usipate tamaa ya kuonja vya wenzio......Amen!

Hongera sana Asprin Pamoja na ma infidelitry yako unajitahidi kutunza ndoa yako
Be blessed iko siku utaacha
Nakutakia miaka mingi zaidi ya ndoa na mafanikio mpaka pale kifo kitakapowatenganisha
yours ..yours FL1
Ahsante sana mama wa kwanza... nawe nakutakia maisha marefu, ukitaka kufanya infidelity ufanye na wazoefu wenye ndoa zao kama mimi ili wasikuharibie kwa mumeo..... hawa vijana ukifanya nao hawachelewi kukupigia simu usiku wa manane wakati unautumikia mpingo....:hand::A S 13:
 
ndoa ya mtu ukifikisha hiyo miaka bwana unampa heshima yake, kha 10 yrs sio mchezo, cku hizi wanaoa/olewa kesho wakisuguana kidogo kila mtu ana shika zake....mpende sana mkeo.

Si umeonae? fuata nyayo za wifi yako nawe, punguza unoko kwa mmeo!
 
Sasa babu miaka yote hiyo si uachie basi nature??? Maana kama kuhunt umeshahunt sana na kama kudiscover umeshadiscover mpaka vinajirudia...... honor your marriage

Ulishajaribu kumwambia mlevi kwamba akapumzike kwa vile kalewa sana? Nenda kajaribu ila ukumbuke kuja kutoa ushuhuda!!!

Safari moja huanzisha nyingine ingawa kufika hatufiki....

Bon chance'!!
 
Ahsante mwalimu...nawe nakuombea upate mume bora, mwenye mtarimbo utakaokuridhisha, usipate tamaa ya kuonja vya wenzio......Amen!

Ahsante sana mama wa kwanza... nawe nakutakia maisha marefu, ukitaka kufanya infidelity ufanye na wazoefu wenye ndoa zao kama mimi ili wasikuharibie kwa mumeo..... hawa vijana ukifanya nao hawachelewi kukupigia simu usiku wa manane wakati unautumikia mpingo....:hand::A S 13:

hahahahahahaha mwanangu kua uyaone ni kweli ndo naanza kuyaona kama haya ........
 
Ulishajaribu kumwambia mlevi kwamba akapumzike kwa vile kalewa sana? Nenda kajaribu ila ukumbuke kuja kutoa ushuhuda!!!

Safari moja huanzisha nyingine ingawa kufika hatufiki....

Bon chance'!!

Well said.... Zawadi yako hii hapa chini

The Following User Says Thank You to Dark City For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Ahsante mwalimu...nawe nakuombea upate mume bora, mwenye mtarimbo utakaokuridhisha, usipate tamaa ya kuonja vya wenzio......Amen!

Ahsante sana mama wa kwanza... nawe nakutakia maisha marefu, ukitaka kufanya infidelity ufanye na wazoefu wenye ndoa zao kama mimi ili wasikuharibie kwa mumeo..... hawa vijana ukifanya nao hawachelewi kukupigia simu usiku wa manane wakati unautumikia mpingo....:hand::A S 13:

Leo nimekubali. Kila sector ina majiniasi wake....Wewe ni professor kwenye haya ma-issues. :clap2::clap2::yo::yo::yo:
 
hahaha asprin dua nimeipenda

acha niitolee AMEEEEN kwa herufi kubwa ;)
 
Shhhh! Teamo, Kaizer na Roya Roy wakiona hii watanitenga kwenye chama......mim1 kwao ni kama mtoto aliyetumboni mwa mama yake akisubiri wiki mbili ndio aje duniani!
 
hahaha asprin dua nimeipenda

acha niitolee AMEEEEN kwa herufi kubwa ;)

Sasa siyo Amen kwa herufi kubwa afu Tamuu....ahsanteeee....mhhhhhhh ehhhhh inakuwa kwa herufi ndogo. Watakuibia watu!
 
Back
Top Bottom