Mi nilishindwa sijui nyie.

Kwa mimi naona kama urafiki unawezekana but inabidi ufuate moyo wako, kama hautaki basi. Mimi naweza sana, Ex wangu ni rafiki yangu wa kawaida sana just like someone i know

Mhhhhh...Mima naona hiki kizazi cha dot com kimetokea sayari nyingine...Yaani uwe na urafiki wa kawaida na mtu ambaye uko kwa ajili yako 24/7???

Kwetu sisi tuliopita kwenye ile mikono mitukufu ya wababu/wabibi na kufuzu...hayo mambo ya Ma-Ex hatukuwa nayo na kama ilitokea basi hizo ni miongoni mwa siri ambazo unakufa nazo au unazitoa kabla ya kurudisha namba kama yule bibi wa Titanic!!
 
unamfanya vibaya mwenzio..yeye usifikili sijui anataka umpigie simu hapana.kwa madada zetu walivyo na aibu hapo anamaanisha naomba tukumbushane mbinu zile za 6 kwa 6.sasa na wewe ulivyo mzito eti unaanza kuwaza mabaya mliofanyiana badala ya mazuri.hapo tu ndo unanikela best.kwani mimi nlikufundishaje?si nlikuambia wanaume hatuachi tunaweka pause tu?msikilize kijana mwenzio bana.penye miti hamna wajenzi.hata wewe uporoto01?.sikupi mia labda 1 tu.
 
Haa haa babu kuna wakati katika maisha inabidi ukubali matokeo, kama huwezi kubadili njano kuwa nyekundu ni bora ukaikubali njano kama ilivyo, unaona kabisa kwamba a relationship u have ni total failure na there is nothing u can do about it ni bora kui end hata kama inaumiza kiasi gani. Mnapoachana haimaanishi uadui au urafiki on spot, mimi binafsi ilinichukuwa muda to get over him, heal n to accept hali halisi then tukaja kuwa marafiki baada ya miaka kupita. Sina feelings nae tena but ni mtu tu kama watu wengine ninao wafahamu, hatukugombana but it didnt work, thats all
 
Kama mliachana vibaya nakushauri uendelee kumpotezea, huezi jua ana lengo gani!..
exactly.

Sasa unambania ili iweje?
sitaki kuwa rafiki yake,sitaki kummega na sina unafiki eti niigize.

Mkiachana urafiki mwingi unakuwa ni wa mashaka, na wivu kibao,anaweza hata kukuharibia kwa mwanamke wako mpya
si ndio hapo sasa kupigiwa simu nite kali.

Kwa mimi naona kama urafiki unawezekana but inabidi ufuate moyo wako, kama hautaki basi. Mimi naweza sana, Ex wangu ni rafiki yangu wa kawaida sana just like someone i know
tukikutana namsalimia vizuri na kuongea nae lakini sihitaji zaidi.

I can not imagine urafiki wa kawaida na mtu ambae tayari mshafanya mambo kadhaa....

Ila ipo ile ya kushirikiana once in a while, nayo sio ya mazoea na kufuatiliana...
si ndio hizi za mkikutana hug na kisses za shavuni,maneno mawili/matatu unakitoa.
 
Umeshaandaa daku mdogo wangu??? Ngoja nijiandae kupumzisha hizi nyama za weneyewe!!!

DC daku mda mrefu nimeandaa... ziko kwenye warmers...
alafu mbona coment tofauti na ulipo highlight...lol...

Karibu daku...
 
si ndio hizi za mkikutana hug na kisses za shavuni,maneno mawili/matatu unakitoa.

Naweza nikawa modern in most cases... but mambo
ya hugs and kisses... hata ambae hatujavuka level
kwangu naona... NO... Hapo i am African all the way...

Hata rafiki yangu haruhusiwi ku hug my man... sina uzungu huo.
 
Haa haa babu kuna wakati katika maisha inabidi ukubali matokeo, kama huwezi kubadili njano kuwa nyekundu ni bora ukaikubali njano kama ilivyo, unaona kabisa kwamba a relationship u have ni total failure na there is nothing u can do about it ni bora kui end hata kama inaumiza kiasi gani. Mnapoachana haimaanishi uadui au urafiki on spot, mimi binafsi ilinichukuwa muda to get over him, heal n to accept hali halisi then tukaja kuwa marafiki baada ya miaka kupita. Sina feelings nae tena but ni mtu tu kama watu wengine ninao wafahamu, hatukugombana but it didnt work, thats all

Sina hakika kama tunaongea lugha moja kutegemeana na nyakati tulizoishi wakati tunafanya hayo majaribio.....Mimi nilimaanisha kuachana na si kutengena au kujiweka pembeni tu.

Siamini kwama unaweza kuachana na mtu (with genuine reasons) halafu kesho yake mkaanza kutamaniana...
 
DC daku mda mrefu nimeandaa... ziko kwenye warmers...
alafu mbona coment tofauti na ulipo highlight...lol...

Karibu daku...

Hhhheeeeeeeeee.....ADii.....Nilikuwa najaribu kuihuisha memory yangu kuona kama bado inayakumbuka hayo mambo kadha kadha!!
 
Sina hakika kama tunaongea lugha moja kutegemeana na nyakati tulizoishi wakati tunafanya hayo majaribio.....Mimi nilimaanisha kuachana na si kutengena au kujiweka pembeni tu.

Siamini kwama unaweza kuachana na mtu (with genuine reasons) halafu kesho yake mkaanza kutamaniana...
Sawa kabisa babu, tunaongelea kuachana na kila mtu akaendelea na maisha yake mengine, hapo kwenye kutamaniana ni mbali sana na wala halipo kabisa kama watu mmeachana with genuine reasons but still haimaanishi kwamba mkikutana hamwezi kuongea au ukamsaidia mtu kama ana shida ya kibanadamu ambayo unaweza kumsaidia binadamu mwingine yoyote
 
Mpotezee huyo labda kama mliachana kwa amani unaweza kumfanya awe rafiki.
Msamehe kwa yote ila usirudishe ukaribu kama huitaji kulivaa tena gamba.
 
Kama mliachana vibaya nakushauri uendelee kumpotezea, huezi jua ana lengo gani!..
fikra zangu pia.

Sasa unambania ili iweje?
hili ni gunia la misumari halibebeki mkuu.

Mkiachana urafiki mwingi unakuwa ni wa mashaka, na wivu kibao,anaweza hata kukuharibia kwa mwanamke wako mpya
kama umuwahi kuona neighbour from hell basi huyu alikuwa GF from ....

Kwa mimi naona kama urafiki unawezekana but inabidi ufuate moyo wako, kama hautaki basi. Mimi naweza sana, Ex wangu ni rafiki yangu wa kawaida sana just like someone i know
ndio tafauti zetu mkuu.

Point noted, kwamba mliachana vibaya huyu piga chini asikuletee kiwingu. wanaume tunazeeka na ubikira wetu, mlango mmoja ukifungwa ujuwe mitano inafunguka.
nipo kwenye uhusiano mwingine hakuna kuzuba mjini.

Ya kweli hayo (RED)???
hahaha! no comment.

unamfanya vibaya mwenzio..yeye usifikili sijui anataka umpigie simu hapana.kwa madada zetu walivyo na aibu hapo anamaanisha naomba tukumbushane mbinu zile za 6 kwa 6.sasa na wewe ulivyo mzito eti unaanza kuwaza mabaya mliofanyiana badala ya mazuri.hapo tu ndo unanikela best.kwani mimi nlikufundishaje?si nlikuambia wanaume hatuachi tunaweka pause tu?msikilize kijana mwenzio bana.penye miti hamna wajenzi.hata wewe uporoto01?.sikupi mia labda 1 tu.
nina mtu sasahivi na nimeshakuwa mkubwa kuonjaonja hapana.mia.

Haa haa babu kuna wakati katika maisha inabidi ukubali matokeo, kama huwezi kubadili njano kuwa nyekundu ni bora ukaikubali njano kama ilivyo, unaona kabisa kwamba a relationship u have ni total failure na there is nothing u can do about it ni bora kui end hata kama inaumiza kiasi gani. Mnapoachana haimaanishi uadui au urafiki on spot, mimi binafsi ilinichukuwa muda to get over him, heal n to accept hali halisi then tukaja kuwa marafiki baada ya miaka kupita. Sina feelings nae tena but ni mtu tu kama watu wengine ninao wafahamu, hatukugombana but it didnt work, thats all
si ndio hapo sasa tukikutana salamu za kinafiki,umependeza jamani,unafanya mazoezi uko fit hahaha! zaidi ya hapo no.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom