Mi msindikizaji tu.....

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Kwa kweli sisi watu weusi lazima tumlaumu huyu jamaa sana....mungu baada ya kuwaumba binadam aliwaita aina zote na kuwambia kila mmoja aseme anachotaka...akaanza mzungu akasema anaomba apewe akili akapewa na ndo mana mpaka leo wametuzidi akili....akaja mchina akasema apewe ubunifu akapewa....akaja mwarabu akasema apewe pesa mpaka leo pesa yao ndo yenye thamani ya juu duniani....sasa akaja mtu mweusi sikia alichosema...eti ''mi nimewasindikiza tu hawa wenzangu'' kah...huyu jamaa ndo katufanya sisi wasindikizaji mpaka leo..mjinga sana huyu
 
afadhali yeye kasingizia amewasindikiza, wengine wangeomba umasikini ili tutegemeane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom