Mi Mkenya, ati naizimikia kweli Tanzania!!!

Karibu mazeee karibu tanzania joo,mwambie prezzo aje pia huku tanzania,swala la ardhi hatukupi labda uwe muwekezaji.
 
Wakenya wengi wanaitaka ardhi ya Tanzania na ndio kinachokuleta na wewe, hakuna kitu unachoipendea Tz zaidi ya ardhi
Mbona wanitisha speedy! Sawa nitaacha ukabila ila kwenye ardhi mtanisamehe, lazima ni nunue ardhi kubwa!
 
huko kwenu Siasa na Utumishi wa Umma ni vitu viwili tofauti...hapa hatutenganishi vitu hivyo yaani jiandae kuona vululuvululu.
 
kweli, ila sema tatizo ni watu wamemiliki ardhi kubwa sana, unakuta landlord anamiliki mpaka wanaoishi kweyne ardhi yake.
 
Duhu, Ng'wanakidiku, ng'wangaluka baba. Uli mhola? Ukifuatilia post zako zote ulizoanzisha hapa jamvini utajistukia kwamba wewe ni mbongo, tena msukuma wa kule Nyanhemwa karibu na Nyamhandwa. Sema umejisahau tu!
 
Nahisi kama tumetangulizwa na baiskeli ya miti vile. Kwanza IP nina mashaka nayo, lakini pia inaonekana siku hizi wenzetu mmeimprove sana kiswahili, maana kwa jinsi unavyopindua maneno ni kama uko manzese vile! Lakini mbona hujatuambia sababu ya kuamua kuja (kama ni kweli) kuishi huku, maana wewe sio mgeni humu ndani.
 
Umenihappisha kinoma jamaa wewe!! nini maana ya "Uli mhola"? sema mineno mingine haijaelewa kama nyanhemwa n.k
 
Nahisi kama tumetangulizwa na baiskeli ya miti vile. Kwanza IP nina mashaka nayo, lakini pia inaonekana siku hizi wenzetu mmeimprove sana kiswahili, maana kwa jinsi unavyopindua maneno ni kama uko manzese vile! Lakini mbona hujatuambia sababu ya kuamua kuja (kama ni kweli) kuishi huku, maana wewe sio mgeni humu ndani.
Kenya bepari wengi wamekwisha shika uchumi. Nataka kuja shika uchumi wa Tz
 
Umevutiwa na nini zaidi?
Kama kenya ulikua pwani, basi na huku njoo Tanga au Pwani.
Kama Kenya Ulikua Kisumu, basi nenda Mwanza.
Kama Kenya Ulikua Nakuru Nakuru, basi nenda Arusha, Moshi.
Na kama Kenya ulikua wewe ndio mjanja wao basi nenda moja kwa moja Dar.
 
Naishi Kakamega kijiji cha Kangeme.
 
Back
Top Bottom