mi mgeni

kodak12

Member
Feb 4, 2012
12
0
natafuta mchumba na mungu akijalia tuje funga ndoa,nina miaka 30 natafuta mwanaume wa miaka kuanzia 36 mpaka 40 kabila lolote awe mkristo na mpenda maendeleo kama mimi,asiwe mlevi, awe mrefu asiye nakitambi,awe anajishughulisha ,Mimi niko dar nafanya kazi nimeajiliwa kwenye kampuni flani,aliye tayari aniPM
 
mgeni ushajua pm? sasa hizo pm utazijibuje wakati vigazo hujatimiza? vipi ratba ya kesho unayo? yaani uwanja wa taifa, dar live, maisha club. naomba kampani yako kwa siku ya kesho. kama vipi tutaongea huko huko tukisha onana. nipm kama utaweza.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom