mi mgeni jamani naomba mnipokee

Godoro lako ntalalia mimi halafu chukua hii 200 uniletee vocha ya 5000 ,Kadem kazuri na urudi na chenj.....haya chap chap...
 
Mbona hauna kamba mguuni..... Ok kama ni mgeni humu umetoa kodi ya kiingilio coz great thinker anapojoin kwa ma great thinker wenzie ana takiwa atume angalau vocha za buku mbili mbili kwa member wote wa jf. Kwa kutimiza hilo anza na ngwangu tuma kwanza hako kavocha hapa 071246474849505152
 
We kamba mambo ya zamani hayo halafu me ndo muhasibu wa humu sitoi hela hapa wala vocha wanasemaga hapa story tu kula kwenu!:D
 
Godoro lako ntalalia mimi halafu chukua hii 200 uniletee vocha ya 5000 ,Kadem kazuri na urudi na chenj.....haya chap chap...
haah!! unaleta mambo ya boarding hapa me ndo kichwa ngumu utaumia dogo kaonee dagaa sangara utaumia bure! halafu acha udomo zege dem katafute mwenyewe
 
Mbona umempa namba simu yangu Huyo mgeni,angalia mamba yako vizuri usije kosa voucher ya mgeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom