mhuu...naombeni mnipokee wana st.joseph univasity

kinota

Member
Feb 8, 2012
41
3
sina la kusema niliponda sana hatimae bwaaa kulekule,tusameane sasa naomba kama kuna mtu anaweza kunipa utaatibu wa stut mzima hasa hostel na mamabo ya school fees anijulishe.maana saasa kelele kimya tukaanze life la chuo
 
kuhusu hostel u hav to find it urself ziko nyingi zinazunguka chuo.
Ila check it out mavazi,cöde of conduct they highly needed kuandika barua za excuse ni jambo la kawaida kwa wadosi.
Lastly try as much as u can to practise indian english. Gud luck guyz
 
Jiandae kuwa na Displine nzuri!!! kusoma kwa bidii!! otherwise shule itakushinda!!!
 
hongera kaka..naiman utakua engineer mzur sana neda kapige msuli na usisiskize maneno ya mashabiki maana hawashindwi kukukasha tamaa!!! hata kama ada ni bdefu kwani si kuna loan...kila la kheri mkuu..
 
Wakubwa hivi mkopo wa Heslb utalipa ada yote ama nyingine ni zetu maana mimi ni Kayumba home majalala, alafu gharama za Hostel tujuzane
 
Jamani hawa wahindi english yao duh mi ndo lecturer zangu hizo english haieleweki kitu ya ven badala ya when,z badala ya j
 
da mkuu acha utani, mi nimepangwa st.joseph agricultural engineering nahisi ni songea ila sina uhakika vizuri kwa sababu sikukichagua na hawaja andika ni wapi,nisaidieni wakuu kwa sababu sijaelewa!
hiyo program iko st joseph ya songea kama si ya mbeya...ila kama unaipenda nenda..inapay na ni nzuri pia!!!
 
da mkuu acha utani, mi nimepangwa st.joseph agricultural engineering nahisi ni songea ila sina uhakika vizuri kwa sababu sikukichagua na hawaja andika ni wapi,nisaidieni wakuu kwa sababu sijaelewa!

hiyo songea
 
Naomba unisaidie mkuu, ni sisi 2liochaguliwa huko ndo wa kwanza kwenye hizo kozi au kuna mwaka 2,3,4. Unaweza mjua yeyote anayesoma hukoo! Shukran sana mkuu!

mkubwa ni npo cmps ya songea kuhusu hyo koz nhv. Hapa kulikua na koz moja yan computer science pekeake ila sasa hv wameleta na hyo agrculture science means nyie ndio first intec kuja kuanza hyo koz.. Karbu sn mkubwa na kiangaz hk chagua nguo ambazo hazshk vumbi.
 
Daa ahsante sana mkuu ARUSHA>> SONGEA
 
Back
Top Bottom