Mhudumu na supu

baba manka

Member
Apr 7, 2012
26
8
Najua hii ilishawah kuwekwa hapa jamvin ila si mbaya kama nikikumbushia
Mhudumu anamletea supu mteja huku kidole gumba chake kikiwa ndan ya supu
Mteja"mbona unaleta supu huku kidole chako kikiwa ndani ya supu?!
Mhudumu"docta kanishaur hivyo.kidole changu nikiweke kwenye joto muda wote
Mteja kwa hasira"Si ukiweke matakon mwako bas km kinatakiwa kiwe na joto muda wote?!
Mhudumu"ndo nilichokuwa nakifanya wakat nipo jikon nakutayarishia
 
hahahahahahahah aaaaaaaaaaaahhhhhhh...mammamamamm mbavu weeeeeeeeeee
yalaaaaaaa hihihhihiiu tehtehtehtetetet mhhhhhhhhhhh oooooooohhhhhh ....mbav zimevunjika njoon mnione kwa hosp
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom